polisi

  1. JamiiForums Tanzania Inakuwaje polisi mseme mabaki yana miaka 11 haraka na kukamata watu wakati picha zinaonesha ni wakati huu

    Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia. Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza. Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita. Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Taarifa ya mabaki ya viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani

  3. JamiiForums Tanzania Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wavunja kongamano la BAVICHA Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila. Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

    Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji Hospitali ya Kenyatta akamatwa na Polisi

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024. Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano (5) kati ya (7) wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa la kumvamia na kumpora mzungu raia wa kigeni

    Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani. Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Polisi anayetumia akiki kuliko maguvu. Sio unakuta watu wanakunywa Kangala alafu unawakamata hovyo.

    Inspekta Makubi bigup👇
  11. JamiiForums Tanzania Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amsimamisha Waziri wa Polisi Senzo Mchunu

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, baada ya tuhuma nzito zilizotolewa na Mkuu wa Polisi, Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi amemshutumu Mchunu pamoja na Naibu Kamishna wa Polisi, Shadrack Sibiya, kwa kuingilia uchunguzi nyeti na kushirikiana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

    HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro KKKT Kijitonyama: Polisi hawajatoka ardhini kuzimu. Ni ndugu zetu

    Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu Jeshi la Polisi sio...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA wadai kada wao amefichwa polisi Dar

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka suala hilo waulizwe Idara ya Uhamiaji. Magere ambaye ni mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa CHADEMA...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu wanazo KPIs.? Zipo smart?

    Nimetafakari na kujiuliza kama jeshi la polisi lina utaratibu wa upimaji utendaji kazi wa askari wake. Vigezo vya kumpandisha cheo ni muda aliohudumu ama afanye tukio tu? Naomba kufahamu, pengine tunawaonea bure tu kulalamika mambo yetu hayaendi yanapofika kwao.
  20. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jiji la Nairobi lafungwa, polisi watanda kila kona

    Wakati Watanzania wakiadhimisha siku ya Sabasaba ikiwa ni maadhimisho ya kimataifa ya Biashara, kwa Wakenya siku hiyo inakumbukwa kuwa ni ya kiharakati, ikienda hadi miaka 1990 ambapo baadhi ya wanasiasa walifanya mkutano wa kihistoria katika uwanja wa Kamkunji jijini Nairobi, kushinikiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…