polisi

  1. Jeshi la polisi kwa nini mnamtindo wa ajabu mkishitukiwa mnasema mumeingiliwa majukumu ila mkifanikiwa mnakana .

    Nalipongeza jeshi la polisi kuwa na CCM sana sababu mnakadi za ccm ndio mpate vyeo. Watu wengi wamekuwa wakitoa ushaidi kuhusu nyie na tabia zenu sehemu nyingi kwenye matukio. Swali langu tu:kwa nini kwenye maswala ya kisiasa mnakataa ila mkivamiwa mnakuja juu kusema mnaingiliwa majukumu yenu...
  2. Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  3. Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  4. Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

  5. Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  6. Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  7. R

    Tuna tatizo la kimfumo, Polisi na wanaCCM hawana shida

    Hellow! Hasira inaruhusiwa, ila hasira lazima iwe na limit, usikasirike Hadi kuwa wendawazimu. Tatizo lililopo nchini petu ni la kimfumo, Kwamba katiba tuliyoitengeneza kwa Nia njema kumpa kiongozi Mkuu mamlaka makubwa Ili kutenda haki na Majukumu yake bila kusumbuliwa, mwanya huo ndio...
  8. Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
  9. Polisi kuweni makini mnaishi na watu mnaowatesa

    Wasalaam Matukio mengi yenye utata na yasiyo na utata yanazidi kujenga ukuta wa chuki kati ya raia na jeshi la polisi Leo kwenye daladala watu wengi walikuwa katika mjadala wa kulaani jeshi hili kiasi mtu yeyote hakukumbuka kazi njema au lengo la jeshi hili Mmoja alisema"kwani wanabeba...
  10. Katibu wa kamati ya sheria, katiba na legal aid ya TLS adaiwa kukamatwa na polisi

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi amechapisha ujumbe kuwa amepokea taarifa ya kukamatwa kwa Katibu wa kamati ya sheria, katiba na legal aid ya TLS na kwamba wanaifanyia kazi na baadaye kutoa taarifa rasmi. "Nimepokea...
  11. Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  12. Wananchi Tunduma hawacheki na wowote, waandamana na kufunga barabara kushinikiza serikali kuondoa foleni, polisi yawatawanya kwa mabomu ya machozi

    Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.
  13. Tusimlaumu RPC Muliro, Hata RPC Sirro Aliwahi Kuwakana Polisi wa Makonda Uvamizi wa Clouds Hawajui. Jee ni Hawa ni Nani Anawamiliki?

    Nimeanza kushtuka kuwa tunapoteza muda wetu bure kumuita muongo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro anaposema viongozi wa Chadema waliotekwa, kupigwa na kwenda kutupwa Ununio sio polisi wake halali. Hali hii iliwahi tokea March 2017 wakati RC wa Dar Paulo Makonda alipovamia Studio za Clouds na...
  14. Hii iwe alert kuwa kuna siku na wewe utapata shida na Polisi wataamua kukudhalilisha wakijisafisha.

    Je polisi huwa hawana akili kabisa most of them? Huwa wengi najua wamechukuliwa ni failure wa kidato cha 4 lakini ina maana hata wakubwa wao nao ni wale wale? Wakatoliki nadhani hii iwe ni alert kwenu sasa. Muendelee kujiambatanisha na CCM mkidhani mpo salama. Walipofanyiwa masheikh mlisema...
  15. S

    Kwa jinsi Polisi wasivyoaminika, sintashangaa wakitangaza waliomshambulia Dr. Kitima walitumwa na Chadema ili kuichafua serikali

    Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi. Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
  16. Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?

    Salamu Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado...
  17. Ulinzi wa wananchi dhidi ya polisi ni jukumu la nani?

    Ni wimbo tunaoimbiwa kila siku kuwa usalama wa raia na mali zao ni jukumu la polisi. Kuhusu hili lina ukweli kiasi gani, hasa katika mazingira yetu ya sasa, huo ni mjadala mwingine. Leo nitajielekeza kwenye swali la msingi, ulinzi wa wananchi dhidi ya polisi ni jukumu la nani? Dhana ya ulinzi...
  18. SI KWELI PreGE2025 John Mnyika apongeza jeshi la Polisi kwa kulinda demokrasia

    Wakuu wa JamiiCheck hii uhalisia wake upoje?? === JOHN MNYIKA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KULINDA DEMOKRASIA NCHINI AMEYASEMA HAYO LEO WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA MEI MOSI 2025. LEO TAREHE 30 APRILI, 2025, MAKAO MAKUU YA CHADEMA.
  19. PreGE2025 Ushahidi Video: MwanaCHADEMA aliyepigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa. Je, polisi bado mnakana kwamba hamhusiki?

    Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi...
  20. PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

    "Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kufanya uharamia wa kudhalilisha utu wa viongozi na wanachama wa CHADEMA, na baada ya kuonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…