polisi tanzania

Polisi Tanzania (Polisi Morogoro) is a football club in Morogoro, Tanzania.The 2015/16 season they are playing in the Tanzanian First Division League. They previously played in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ukisoma Ibara hizi za Katiba, utagundua Polisi Tanzania wamegeuka malaika watoa roho kwa baraka za mtawala mkuu

    12.-(1) Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa. (2) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. 13.-(1) Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria. (2) Ni marufuku kwa sheria yoyote...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simon Sirro ndio Mfano wa Polisi Tanzania? Je, Polisi wote ni CCM?

    Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania? Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi. Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio? Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi Ndio maana kila siku...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Geita: Polisi wakamata wawili tukio la mauaji ya kijana Enock

    Wakuu, Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana akiwa amefungwa mikono huku akipigwa kwa fimbo na watu kadhaa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 3 Julai 2025 na msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  7. R

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Polisi Tanzania: Kwanini waathirika wa Utekaji, mauaji, kupotezwa wengi by 99% ni wanachama wa CHADEMA?

    Jana mmetoa tarifa ya sababu ya watu kupotea , kutekwa, kufa na mengineyo kama hayo. Swali kuu: Kwanini wanaopatwa a sanabu mlizozitoa wengi wao, naweza kusema 99% ni wafuasi/wanachama/wapenzi wa chadema ambay pia serikali IMEIKLIA KOONI? Angalia kupotea kwa watu hawa 1. Ben Saanane 2. Mdud 3...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Dar: Polisi wazingira kanisa la Gwajima la Ufufuo na uzima. Ni taharuki kwa Wakristo Nchini. Je, Nchi inaenda wapi? Kanisa lina kosa gani? Kama kakosea Gwajima angekamatwa Gwajima. Kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Duniani kote Msajili kakengeuka. Risasi za moto Kanisani za nini? Chezea Siasa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania nata na biti. Wapigeni CHADEMA ili mpandishwe vyeo

    Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya. Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini. Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA? Wanasiasa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania msizime Moto Kwa Petroli , Uhuni kwenye Shambulio la LISSU, msiuhamishie Kwa KITIMA acheni kua na Viburi na Mizaha

    Muacheni kua na Viburi na Mizaha !! Huyo anayewatuma atawaponza, TEC sio Familia ya Masikini ya Mnyonge wa WATU TUNDU LISSU !! TEC inapoongea mara mbili mbili juu ya HAKI Kwa KITIMA dhidi ya Waliofanya Jaribio la kuondoa Maisha yao , Wanamaanisha HAKI KWELIKWELI Sasa basi, endeleeni kuleta...
  11. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

    Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu. Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA. Mbali na...
  13. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Kuundwa kwa Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Polisi Tanzania

    Wakuu, Nawasalimu, Kwa heshima na taadhima, napenda kutoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume Huru ya Kuchunguza Mwenendo wa Jeshi la Polisi, yenye dhamira ya kuhakikisha kuwa utendaji wa jeshi hilo unazingatia haki za binadamu, uwajibikaji, na matumizi ya madaraka...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Your Nonsense Crimes, Hatutunyamazishwa Forever!"

    Sikilizeni polisi wa Tanzania, na viongozi wote wa kipumbavu wanaochochea hii motherfucking uhalifu mnavyofanya mchana kweupe! I swear to God, I ain't stopping this shit — usiku na mchana, mtasikia sauti yangu mpaka mishipa ya masikio yenu i-burst! Mnatuua, mnatutesa, mnabaka haki za raia huku...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  16. Elisante Yona

    JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania jitafakarini sana

    Polisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13 (6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao. Nyie ni tools of oppression. Mnaua, mnapora, mnatisha, halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi Tanzania wa kuzuia matukio hatarishi ni wa kipekee Afrika wa kupongezwa sana

    Jeshi la polisi Tanzania lipo imara katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu amani maarufu (intelejensia)..mfumo wao ni wa kipekee barani Africa nchi nyingi zimekumbwa na machafuko sababu ya polisi kuwasubiri wahuni wawe wengi wawaondoe mwisho wa siku hushindwa nguvu... Lakini jeshi letu...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi tuzuiliwe kwa saa mbili wakati msafara wa viongozi tunaowapisha haupo karibu?

    Nipo natokea Arusha kuelekea mikoani. Tumesimama Minjingu kama Lisaa tukipisha Msafara na huo msafara mpaka sasa haujapita. Busara zitumike kuona namna bora ya kusimamisha wananchi wanaosafori kiwahi majukumu mengine ya kitaifa. Tunawheshimu viongozi wetu ila ni vyema taarifa ya msafara...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
Back
Top Bottom