polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

    Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea. Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli. Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

    Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha. Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!! Hiki ni kituko sana. Sisemi kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

    Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na...
  5. JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Sarakasi za polepole tumeziona. Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedent ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole???? 1. Nani aliyeacha precedent ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala??? 2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Kassim Majaaliwa philip mpango Humphrey Polepole nani anafuata ?

    Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata. Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba...
  7. JamiiForums Tanzania Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugai, Majaliwa na Mpango wamepigwa bao na Polepole

    Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani wamefika? Hii timing ya Polepole imeonyesha kijana ana akili kuliko hawa Wazee. In fact watu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

    Hili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za kujiuzulu.. Kawa muwazi sana sana na kanyoosha maelezo bila kutumia lugha laini ya kidiplomasia Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Polepole ni zao la chuo cha Mwalimu Nyerere ambacho watu mmekuwa mkikichukulia poa , ila hiki chuo kimezalisha watu smart sana.!

    MTU Kama Polepole , Mwanadiplomasia na mwenye uthubutu anatoka katika Chuo bora cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

    Wanakumbi. Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Je,Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika kama Kiongozi

    Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya karne ya Humphrey Polepole iliyowainua watu Mlimani City 2014

    Toka maktaba: November 26, 2014 Mlimani City, Dar es Salaam Hotuba ya karne ya Humphrey Herson Polepole iliyowainua watu Mlimani city 2014 Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani - City 2014 kinachoishi jana, leo na hadi kesho Amb. Humphrey H. Polepole...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  16. JamiiForums Tanzania Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

    Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama. Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72. Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
  17. JamiiForums Tanzania Tukiwa Tunapambana na Waliokatwa na Kujiuzuru kwa Polepole, Kisiwani Tumenunua Ndege Yetu ya Kwanza

    ... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
  18. JamiiForums Tanzania Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

    Hata wakikuita uje ujieleze, USIJE MKUU , Tokomea zako hata US.
  19. JamiiForums Tanzania Polepole alishaona "He is Going Nowhere", hivyo bora ajipe kadi nyekundu lakini itakayoacha madhara kwa golikipa.

    Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team". Bashiru nje❌ Majaliwa nje❌ Ndugai nje❌ Mpango nje❌ Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region! Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…