polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Polepole na uzalendo mpya! Ana uchungu na katiba ya CCM kuliko ya nchi?

    NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI. Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake. Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti , Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu: Kujibizana na Polepole ni kumpa Umaarufu asiostahili

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015, Maliki Marupu, amemjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho. Katika majibu yake, Marupu amesisitiza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna cha maana anachokipigania Polepole, hana muelekeo, apuuzwe tu na wapenda mabadiliko halisi

    Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuwekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

    Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu). Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha kuwa 'Bashiru amkana Polepole, maamuzi yake na vibaraka wake'

  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hili tu Balozi Polepole nakuunga mkono 100%, na hata Mimi nililieleza hapa JF kwa Utaratibu wake ila Wanafiki, Chawa hawakunielewa

    GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitamlaumu Balozi Polepole kwa mengineyo ila kwa hili la kusema kuwa hii siyo Awamu ya Sita kama ambavyo WANAFIKI, CHAWA na WAPUMBAVU wanavyosema na kulazimisha naungana nae kwa 100% zote. Mwaka 2021 hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi (upo hapa utafuteni) kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini

    Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na mabadiliko ya katiba
  15. JamiiForums Tanzania Polepole adai yuko Morogoro, apigilia msumari kauli zake

    Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam. Pia ameendelea kusisitiza madai yake yabuvunjifu wa katiba ya CCM na taratibu zake katika kumpata mgombea urais wa mwaka huu.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Polepole apuuzwa na Watanzania na kuonekana ni mnafiki na mbaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi...
  17. JamiiForums Tanzania Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

    Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde 1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa) 2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Serikali itamkamata Polepole kwa ajili ya barua ya kujiuzulu na kauli zake, basi huo ni udhihirisho kamili kwamba tuna serikali ya kidikteta

    Hebu niambeni, nyie wote mnaoshabikia na mnaotarajia Polepole akamatwe, akamatwe kwa kosa gani alilofanya? Hadi sasa hebu tuseme wazi, Polepole amevunja sheria ipi ya nchi? Kusema hawezi kufanya kazi na serikali inayokiuka taratibu? Au serikali yenye makandokando yasiyoeleweka kuhusu utekaji na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…