polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Lugha ya Polepole ina Codes nyingi sana. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia

    Anaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali...
  2. Polepole: Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa

    Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa, kama ulikuwa ujasikiliza watu utakimbia kusikiliza watu
  3. Inatetemesha na kuogopesha : Mh Polepole asema yanayoendelea Nchini ukiwemo Utekaji na maumivu mengineyo yanatoka Kundi la Wanamtandao!!

    Wakuu Mambo mazito sana !!. Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
  4. Polepole asema Mwaka 2010 , Familia ya Kikwete ndio iliyosambaza Fomu zake na Sio Chamaz, kwakua Serikali yake iliharibu mambo mengi sana

    Hivo Chama kikasusa suala la Kumsaidia Mgombea Kusambaza Fomu zake !!. Mambo yanazidi kua ya moto sana https://youtu.be/TS67F-3yfqM
  5. GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  6. J

    Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
  7. Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  8. Je, Polepole ni tapeli ?

    Hazungumzii kabisa reforms Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .? Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta...
  9. Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

  10. MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  11. Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  12. Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

    Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma? Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
  13. Waandishi waliomuhoji ndg. H. Polepole ni wapuuzi , walidhihirisha ufinyu wa fikra za watanzania wengi

    Kulikua na maswali mengi mazuri ya kumuhoji ndg polepole ila waandishi walituangusha hasahasa yule zungu. Nimesikitika sana
  14. GE2025 Steve Nyerere: Polepole kumsema Rais vibaya siyo Miiko wa Maadili

    Msanii na mwanaharakati maarufu, Steve Nyerere, amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Steve Nyerere amesema kauli za Polepole hazioneshi...
  15. L

    Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba. Uimara...
  16. Mh Polepole yupo Sahihi, Bararabara ya Mwanza -Musoma , tangu 2021 inajengwa na Kufumuliwa ! TANROAD Kwa Ufisadi imekithiri ! Serikali imelala

    Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli. Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?. Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba...
  17. S

    Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

    Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia. Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea. Nachokiona ni kwamba...
  18. GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  19. Polepole, siku ukikaa kimya kabisa si watu watasema uko kimya? au wanafiki watasema umetekwa kumbe uko zako bafuni umejificha

    Nawaza kama pole pole akiacha kuongea kwa zaidi ya miaka kumi akiwa kwenye mashimo yake aliyojificha, wahuni wenzake watazusha katekwa. Kumbe kakaa kimya tu. Ni sawa na panya, anaishi kwenye mashimo, mvua ikinyesha maji yakajaa kwenye mashimo, ndio kwisha habari yake
  20. GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi. Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!. Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha? Anasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…