polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Angalizo kwako polepole. Usiudhulie mazishi ya ndugai

    Unatuaminisha kuwa upo Tanzania. Ila ukweli ni kwamba hapo Tanzania ila kama upo Tanzania usijaribu kUshiriki mazishi ya ndugu ndugai Ukifanya ivo ndio itakuwa safari yako ya mwisho wa maisha Usijaribu kabisa utapotea.
  2. Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

    Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha. Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane. Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana. Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
  3. Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram == Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok. Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni...
  4. A

    Je! Ndg.Polepole ataweza kuzima na kumaliza 'wanamtandao' ndani ya CCM na serikali?

    Kama ulimfuatilia ndg. Polepole jana wakati wa press yake kupitia mitandao ya kijamii, aliulizwa swali, ikiwa hawatasikiliza kabisa na kufuata ushauri wake ni nini kitafuata au atafanyeje, ndg. Polepole alisema tena mara tatu kwa kurudia kwamba wasiposikiliza 'watafanya maamuzi magumu zaidi...
  5. B

    Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

    Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania. Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole? Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu? Tuache husuda, nchi hii...
  6. Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  7. U

    Polepole na The Blacklist

    ,
  8. Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

    Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana. Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana. Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia...
  9. Mh Polepole asema , Mzee Wasira akiiwakikisha CCM alitumika kuvuruga kabisa Mchakato wa Katiba Mpya !!.

    Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??. Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
  10. GE2025 Polepole: Kuna kakikundi cha watu ndio wanapanga nani atakuwa kiongozi. Namuonea huruma Rais

    Wakuu, Pole pole anaendelea kutema cheche. Anasema kwenye nchi hii kuna watu wachache au "kamtandao" ambako ndiko kanapanga nani awe kiongozi na nani asiwe Polepole anasema kuna kipindi unakuta uteuzi wa kiongozi unafahamika kabla hata mkeka rasmi wa Rais haujatoka. Anasema hako kakikundi ni...
  11. Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi . Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
  12. GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

    Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
  13. GE2025 Polepole amjibu Rostam: Ulitaka nikae muda gani CCM ili ndio niwe na uhalali wa kuongea?

    Wakuu, Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
  14. R

    Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

    Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
  15. Hata kama Polepole na Musiba wana hoja za msingi hawawezi kuaminika

    Kwa wafuatiliaji wa siasa Polepole si mzalendo wala hawezi kuwa mwanaharakati. Anayosema leo yameanza leo? Kutekwa watu, kupotezwa ndio mara ya kwanza? Mbona kipindi cha Magufuli hakuongea haya? Eti Musiba Junior nae anaungana nae kweli?!! Mbona Watanzania tunakuwa watu wa kujisahau sana...
  16. Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

    https://www.youtube.com/live/dn9GFRy874c?si=sThD_It5uyI8Jnm-
  17. Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  18. GE2025 Polepole atangaza kuinanga CCM leo usiku tena

    Naam habari ndio hio, anasema leo tukae mkao wa kula, anakuja tena na leo ana watu kadhaa wa kuwajibu..... Hii ngoma imenoga, wacha tuone. https://www.youtube.com/live/3RjbB6EGgsk?si=NLp9VuqDweX6RTuq https://vm.tiktok.com/ZMSEv6VN6/
  19. Mpina, Gwajima na Polepole Mbona hawakamatwi Kama Lissu ?

    Wanadunda tu mtaani Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge Wanalindwa na CCM Wanakula CCM Wanalala CCM Wanaishi ndani ya CCM Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ? Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ? Samia Kama...
  20. Press za Polepole kwa sasa hazina tija

    Hamjambo! Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake. Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…