polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana

    Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA. Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

    Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa, Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa. Apuuzwee polepole.
  3. JamiiForums Tanzania Polepole: Serikali imekataa kunirudisha nyumbani halafu Polisi wanataka niripoti kwao

    Humphrey Polepole akizungumzia wito wa polisi kumtaka aende kuelezea tuhuma zake amesema mara baada ya kujiuzulu ubalozi amepata matokeo mabaya. Akizungumza kwa njia ya mtandao amesema, aliwasiliana na watumishi wa serikali wakamwambia Rais Samia ameagiza kuwa afukuzwe kazi hivyo hatapata...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma alizoziibua Polepole zinapaswa kufanyiwa kazi mpaka Polepole aripoti Polisi au Takukuru? Kwanini wasianze kuzishughulikia?

    Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa. Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Msihadaike na Drama za Polepole, ni Afisa Kipenyo aliye kazini!

    Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako. Hakika HP kataitiwa mwanzo-mwenga Hana pa kutoboa
  6. JamiiForums Tanzania Aliyeko karibu na Polepole

    Awe makini mnooo Sitafunguka sana UPDATE Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!! Britanicca
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

    Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia unaombaje kura wakati umeshindwa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao?

    Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao hiyo ni kulinda maslai ya watu fulani kwa sababu ya bishara ya dawa
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Za ndani kutoka CCM zinaeleza kuwa Emmanuel Nchimbi muda wowote anaachia ngazi kwa kujiuzulu

    Za ndaaaniiii Nchimbi Jana alitolewa kwenye kikao kwamba hahusiki, Leo mpango, wa kujiuzulu unasukwa Muda wowote kuanzia leo ataachia ngazi katika nafasi zote - Ugombea mwenza na katibu mkuu Britanicca
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

    Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wakwenda kumtoa mgombea mwenza( Nchimbi) ila kwa sababu mgombea mwenza ni mjanja tu, na ndio maana ile siku Kikwete pale Kawe alisema Nchimbi anajua. Wakamkaba mama Samia huku na huku, akaogopa wakamtisha kwamba mama kama unachoma betri...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Miradi aliyokamilisha Samia imemchanganya Polepole

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za kuipinga serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinachochewa na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Ali karume amvaa Humphrey Polepole

    Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole Ali...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nawashangaa wanaomshabikia Polepole

  16. JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

    Comprado... Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na...
  17. JamiiForums Tanzania Unakubaliana na Polepole kwamba Lita ya Petrol Cuba ni Tsh 300 au ndio ile unabisha ulikuepo?

    Kwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti kwamba sisi iwe juu kwao kidogo?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi CCM mmeshajiuliza kwanini mnapata viewers wachache kwenye live zenu, mnashindwa hata na Polepole

    Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae. Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda. Hata ukiangalia ile overall views, bado...
  19. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga...
  20. JamiiForums Tanzania Siku tukimtumia Polepole vizuri, Nchi yetu itapiga hatua vizuri sana

    Kijana huyu anapoongea huchoki kumsikiliza. Hachoshi kama vile Mwalimu Nyerere Huwa hachoshi kumsikiliza hotuba zake. Polepole ana uwezo mzuri wa kujenga hoja na ana akili sana. Unajua mtu mwenye uwezo wa kuongoza na kutenda Huwa anapimwa kwa njia tofauti na moja wapo ni uwezo wa kujenga hoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…