A plate number is a number printed in the margin of a sheet or roll of postage stamps, or on the stamp itself, which shows the printing plate used to print the stamps.A plate number is the serial number of a printing plate. It is printed in the selvage or border of a pane of postage stamps. Philatelists and stamp collectors analyze or collect plate numbers and stamps with different plate numbers, often as a block, thereby known as a plate block. The American Plate Number Single Society (APNSS) is an example of a specialist philatelic society which focuses on single stamps with plate numbers. APNSS is affiliate #178 of the American Philatelic Society
Habari wakuu,
Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.
Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei.
Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi.
Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number, mwezi ujao namba hazieleweki.
Kuna wakati unakutana na gari ya mwaka 2024 ila nina namba A series...
Kumekuwepo na mjadala mtandaoni baada ya kuonekana gari dogo linalodaiwa kuwa la polisi likiwa bila namba ya usajili maeneo ya Tabata, Dar es Salaam. Hali hii imewaacha baadhi ya wananchi na maswali lukuki, hasa ikizingatiwa kwamba magari yasiyo na plate number mara nyingi huhusishwa na matukio...
Wadau, ushahidi huu wa picha unaonyesha kuwa plate number SSH 25 30 ni nyingi sana, na inaweza kuwa hatari kama si rasmi. Kama hawajakamatwa, wacha drama na tuendelee na maisha – lakini mamlaka ziwasilize! Je, mmeona magari haya eneo lako? Je, ni viongozi au wafanyabiashara? Shirikieni maoni...
Samahani naomba kuuliza hivi hizi gari za STL zinaruhusiwa kutembea na Plate Number nusu kama hivi au isiyosomeka vizuri maana kuna nyingine pia nimeiona inayo mbele tu nyuma hakuna.
Au yawezekana Polisi hawaruhusiwI kuwasimamisha wao!!!?… 🤯🤯
WanaJamiiForums Habari zenu,
Nimenunua Pikipiki Mpya kwenye kampuni Fulani Tangia mwezi wa Tatu Hadi kufikia muda huu sijapata plate number na Kadi nikiwapigia wananiambia Chassis yangu Haionekani kwenye Mfumo wa TRA,
Naombeni Msaada wa Kisheria nn nifanye? maana pia Barabarani Traffic...
Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk
Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia afisa wa TRA, Trafiki wa barabarani na wamiliki wa hayo magari, na haya ndio niliyogundua.
Afisa wa...
Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
Tuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body..
Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hili
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema:
"Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa...
Wakuu huyu hawa wabunge kutwa wanafikiria kunyoosha njia zao wanasajisahau sana, kuna mwingine alitaka bima yao irefushwe kupita muda wa kawaida kisa anaogopa akiugua akiwa kwenye kampeni wakati hou kipindi chote alipata mshahara mnono na Pensheni la kucheba.
Leo Mbunge wa Kinondoni Abbas...
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
Wakuu
Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi...
Kwenye mkoa ninaoishi nimeona utitiri wa gari zenye plate number za "SSH 25 30"
Nimekuwa na maswali kadhaa ninayojiuliza kuhusu usajili huu wa magari
1.Je magari yote haya yamelipiwa private plate number za "SSH 25 30"
2.Kama yamesajiliwa kwa usajili huo ni kipi kinachoyatofautisha maana...
Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number?
Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T 567 DJJ au EJK au vyovyote lakini heru I/ài/ huwezi kuikuta.
mafano huwezi kukuta gari lina...
Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.