pitch

Pitch is a perceptual property of sounds that allows their ordering on a frequency-related scale,
or more commonly, pitch is the quality that makes it possible to judge sounds as "higher" and "lower" in the sense associated with musical melodies.
Pitch is a major auditory attribute of musical tones, along with duration, loudness, and timbre.Pitch may be quantified as a frequency, but pitch is not a purely objective physical property; it is a subjective psychoacoustical attribute of sound. Historically, the study of pitch and pitch perception has been a central problem in psychoacoustics, and has been instrumental in forming and testing theories of sound representation, processing, and perception in the auditory system.

View More On Wikipedia.org
  1. bro alex

    Jenga hoteli sambamba na uwanja wa mpira( pitch )tu, Utakuja kunishukiru

    Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana USHAURI. Tetesi Zina dai ni kijana TU SI mzee Wala bilionea mkubwa nchini nikashtuka. Wengine wakadai ni...
  2. MwananchiOG

    Pitch ya dimba la Mkapa inapaswa kuondolewa na kubadilishwa, big screen iwepo na matangazo ya LED kuzunguka uwanja yawepo juu na chini

    Kwa wapenzi na watazamaji wa mpira wanajua na wanatambua, kitu cha kwanza na kigezo cha kusema 'huu uwanja ni mzuri' basi ni pitch quality, maana wanaohudhuria uwanjani ni asilimia kidogo sana kati ya watmazamaji wote wa mpira, na zaidi ya 80% ya maeneo yanayomulikwa na camera wakati wa mchezo...
  3. chiembe

    Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

    Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza. Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu. N. B. Media house ziombe tour ndani ya uwanja...
  4. M

    Siku serikali inakapojua kutengenisha uwanja wa mpira na uwanja wa makongamano...Ndio uwanja wetu pitch itakapo dumu kwa muda mrefu kwa ubora ule ule

    Magari ya matent fuso,scania zinaingia ndani ya pitch kushusha tent Mashimo au vitu vizito vya kuwekea tent Watu mia n.k kukakaa kwenye pitch kwenye ujinga wa kungamano Yaani hata wakikarabati pitch haitadumu hta mwaka Moja....wenzetu viwanja vyao hata km Kuna MAKONGAMANO pitch Huwa marafuku...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

    Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
  6. MwananchiOG

    Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  7. Waufukweni

    Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  8. chiembe

    Hii pitch ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio itatumika kwa michuano ya CAF 2027? Imejaa matope

    Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
  9. ngara23

    Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi Au labda Babda Barca vs Madrid Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling Hii...
  10. Anti-tozo

    Ubora wa Pitch Benjamin Mkapa

    Jamani jamani pamoja na mahela yote tunasikia yakitangazwa uwanja kufanyiwa maboresho ni sawa na hamna kitu ya ile pitch pakinyesha mvua tu maji yanatuama uwanja matope na kuteleza tunaweka afya za watu lehani kimzaha mzaha tuu.
  11. Mshana Jr

    Strikers leaving the pitch

    End of era! Or new begining?🤔🙇🏿‍♂..
  12. LIKUD

    Said Mwamba Kizota has come back to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has come back to the pitch as Djigui Diarra

    Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota...
  13. LIKUD

    Said Mwamba Kizota has comeback to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has comeback to the pitch as Djigui Diarra.

    Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro...
  14. LIKUD

    Said Mwamba Kizota has comeback to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has comeback to the pitch as Djigui Diarra.

    Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro...
  15. LIKUD

    Said Mwamba Kizota has comeback to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has comeback to the pitch as Djigui Diarra.

    Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro...
  16. T

    Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
Back
Top Bottom