pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi la abiria akutwa na leseni ya Pikipiki

    Jeshi la polisi linamshikiria dereva wa basi lenye namba za usajili T622 EFG linalofanya safari zake kutoka jijini Mwanza kwenda Morogoro kwa kosa la kukutwa na leseni ya pikipiki ili hali akiwa ni dereva wa gari la abiria. Hayo yamebainishwa na kamanda wa kikosi cha usalama barabarani DCP...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam na wazoefu wa pikipiki

    Kwa Wataalamu wa Pikipiki: Ninatafuta ushauri kuhusu aina au brand bora ya pikipiki kwa kazi za kubeba mizigo kati ya kg 30 hadi 75 kila siku. Je, ni brand gani kati ya boxer, tvs, hero, honda, hunter na nyingine. Je ipi ni imara na inadumu muda mrefu kwa mazingira ya joto, vumbi, na mvua ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  4. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Mwaka Jana nilijaribu kwenda masafa marefu na piki piki ilikuwa BOXER 125 nilienda shinyanga nilitumia masaa zaidi ya 12 maana nilitoka dar es salaam alfajiri nikafika shinyanga jioni kwenye saa 1 hivi kasoro...! Boxer kidogo barabarani ilikuwa inayumba Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki...
  5. JamiiForums Tanzania Spear za pikipiki Mwanza

    Wadau naomba msaada wa kuelekezwa mahali ninapoweza kupata spear za pikipiki hii hapa . Ndani ya Mwanza. Ninahitaji piston na block
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Pikipiki zako za CCM zimeongeza ufanisi wa kiutendaji, zilizobaki naomba wapewe wenyeviti wa kata

    Chama cha Mapinduzi kimejizatiti kwa kuongeza ufanisi ktk ngazi za chini kupitia program ya kugawa Pikipiki maarufu kwa Pikipiki za Samia Suluhu. Hata hivyo baada ya kuzigawa kwa walengwa (Makatibu Kata, Makatibu wa Jumuiya Vijana, Wanawake, na Wazazi) nchi nzima kuna zilizobakizwa bila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  8. JamiiForums Tanzania Natumia usafiri gani kuitoa pikipiki kutoka Mtwara kwenda Iringa kupitia Songea?

    Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea. Je, ni lorry, busses, or by truck? Hakuna bus la moja kwa moja from masasi to iringa. Zinaishia Makambako. Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Jifunze kwa Ufupi Mashindano ya Pikipiki: MotoGP World Championship

    Wakuu, kuna siku tulidiscuss kuhusu mashindano ya magari ya Formula One. Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini Leo tungejaribu kugusia kidogo kuhusu mashindano ya pikipiki, MotoGP. Utangulizi MotoGP ni mashindano ya pikipiki yanayosimamiwa na kuratibiwa na Fédération...
  10. JamiiForums Tanzania Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki. Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kwa sasa inao bodaboda wangapi? Au pikipiki zipo ngapi Tanzania

    Swali linajieleza, je waendesha pikipiki tumefikia wangapi?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Pikipiki yangu imepata tatizo la kuzimazima

    Habari Wana JF?, Nina pikipiki yangu nimenunnua mwezi wa kumi na moja mwaka Jana, mwezi November. Aina ya kinglion (150cc). Tangu niinunue nimefanyia service mara Tano, tu na sijawahi kubadilisha filter. Mimi sio mtaalamu sana wa pikipiki, lakini hivi karibuni, piki piki ingekuwa na tatizo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  14. JamiiForums Tanzania Nina million na laki mbili, wapi napata pikipiki boxa used imara?

    Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda. Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  16. JamiiForums Tanzania Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  17. JamiiForums Tanzania Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

    Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
  18. JamiiForums Tanzania AGIZA PIKIPIKI BOXER KWA TSH 2200000 TU

    KARIBUNI WATEJA AGIZA PIKIPIKI BOXER 125 KWA 2200000 TU PIKIPIKI NI MPYA UTAPATA NDANI YA SIKU 15 UNALIPIA MILIONI 1850000 PIKIPIKI YAKO IKIFIKA UTALIPIA PESA ILIYOBAKI KAMA USAFIRI NA KODI UKIFIKA UTAPEWA MKATABA NA RISITI TUPO MBEZI MSIGANI KARIBU NA KIWANDA CHA MABATI UNALIPIA OFISINI...
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

    Wakuu mambo vp Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF. Majira ya saa 3 usiku Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto...
  20. JamiiForums Tanzania Fundi pikipiki natatuta kazi

    Habari ya uzima. Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM Natengeneza pikipiki za aina zote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…