picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuonyeshe tofauti katika picha hizi

    Umegundua nini hapa?
  2. JamiiForums Tanzania Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
  3. JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Siku 2024

    Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Karia akabidhiwa Jezi ya Simba na Ahmed Ally

  5. JamiiForums Tanzania Picha: Je Mfalme Charles amekosea kupokea nyaraka za Balozi Kairuki kwa mkono wa kushoto?

    Kitendo cha Mfalme wa Uingereza, Charles III, kupokea nyaraka za kujitambulisha kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki, jana kwa mkono wa kushoto kimeibua mjadala. Mfalme Charles, ambaye hutumia mkono wa kulia, amekosea kupokea kwa mkono wa kushoto?
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Ahmed Ally kabla ya kuwa Semeji la Wanamsimbazi

  7. JamiiForums Tanzania Itatafsirikaje picha au video polisi Tanzania wakimdhibiti shabiki aliyevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly?

    Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE HARRASED and arrested, je video au picha itatofaitisha vipi Shabiki msouth Africa, mmisri na Shabiki...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Meza niliyoagiza Meza iliyoletwa
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Maoni ya mdau kuhusu tofauti ya wazungu na waafrika katika elimu

    Picha inajieleza. Comments za wadau zinahuzunisha zaidi
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa BBT akiwa amempigia Magoti Waziri wa Kilimo

  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wazaa Mtoto Mzungu aliyethibitika ni wao japo baba na mama ni Weusi

    In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on...
  15. JamiiForums Tanzania Picha 2014: Mashabiki waling'oa viti baada ya Yanga kumfunga Al ahly BAO Moja

    Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al...
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya babu yetu aliyeacha kununua shamba la heka 500 kwa Tsh. 30 akisema hawezi kuishi Kimara porini kwenye fisi!

    Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.
  17. JamiiForums Tanzania Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Umegundua nini kuhusu Harmonize?

  19. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwekuwa na wimbi za link za video za Ngono Facebook, ukibonyeza tu video zinapakuliwa kupitia ukurasa wako

    Naomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono. Hatua hiyo tunaweza kusema “Utakua sio wewe umesambaza link za ngono Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Kwema Wakuu! Sisi wengine ni Watu wa misifa, Watu wa mitandaoni, Watu wa kujionyesha, Watu wa kujimwambafai tukio kama la jana kwangu lingeniongezea Credit muhimu sana. Kutokuonekana inamaamisha sikuwepo ama? Kutokuonekana kwenye picha yoyote au video yoyote ya tukio inamaanisha sikuhudhuria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…