picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  2. Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Chumba chenye open Maliwato...!
  3. G

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba? Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
  4. Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  5. SI KWELI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Wakuu, Nimekutana na Picha inayosambaa Mtandaoni imeniogopesha sana. Ni mawingu yenye mwonekano wa Yesu, ama kweli siku za mwisho zimefika.
  6. M

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake Cc BICHWA KOMWE - The Mongolian Savage
  7. Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  8. Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  9. Picha: Pyongyang Korea Kaskazini

    Kumbe kiduku kwa miundo mbinu hayuko vibaya sana.
  10. Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

    Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona? Naomba picha nilione na mie Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
  11. Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  12. Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

    Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi. Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!! Lema usiwe mnyonge!!!
  13. CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  14. T

    Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  15. C

    Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

  16. Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
  17. Picha: Ndoto ya kila Mwanaume

  18. Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  19. Picha: Vyombo vya CCM

    Maandalizi yameshaanza.
  20. Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

    Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao. Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM. Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…