peter msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa, ona aibu kidogo angalau, umemsakama Mbowe lakini hajakujibu

    Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth! Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue! Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

    Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka. Soma Pia: Peter...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

    Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake'' ---- Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
  5. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa uwe unasema na yale ulotendewa na CCM

    Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

    Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa, Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

    Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

    Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa...
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nahitaji Peter Msigwa auambie umma wa Watanzania ataufanyia nini baada ya kuhama CHADEMA, siyo CHADEMA imefanya nini!

    Mchungaji Msigwa Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya! Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa, sababu ya yeye kuhama CHADEMA alisema ni uminywaji wa Demokrasia huku lawama kibao akimtupia...
  10. sitaki hela

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa angepata uenyekiti Kanda ya Nyasa angebaki CHADEMA. CCM wasimpe cheo chochote

    Mm binafsi sipendezwi na huyu peter msigwa,hasa baada ya kuhama chama,swala la kuhama chama ni haki yake, siwezi kukataa ila tatizo linakuja swala la kuanza kutoa siri za chama, Wala halipendezi, alitoa sababu za kuhama chama kwamba hakimkutendea haki, ilikuwa imetosha. Angejikita kwenye hoja...
  11. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza wajifunze kutoka kwa Hayati Edward Lowassa

    Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni. Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza

    Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani. Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong. Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu. Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa usoni hafanani na CCM, hatumwoni kama mwenzetu

    Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu. Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni Mchungaji Peter Msigwa amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji (mstf) Francis Mutungi kuhakikisha anafuatilia kwa karibu vyama vya siasa vya upinzani nchini ili...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Mchungaji Msigwa

    JUST IGNORE HIM, MSIMJIBU, MPUUZE, MPOTEZEE (vijana wa mjini wanasema) What power is there in ignoring someone? 1. Ignoring someone can have a powerful impact since it sends the message that you do not want to engage with the person. 2. Ignoring someone can also have a strong emotional...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

    Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi Source: Mwanahalisi Digital My take; Makapi kutoka Ufipa st ni...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

    Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM. TAREHE: 28 Julai 2024, MUDA: Saa 12 asubuhi, MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

    Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema --- "Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za...
  20. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa ni mlaji wa matapishi yake

    Peter Msigwa Mlaji wa matapishi yake Uamuzi wa Peter Msigwa kuhama kutoka Chadema kwenda CCM unaacha alama mbaya katika siasa za Tanzania. Ni tukio linalofungua mjadala kuhusu uaminifu, uadilifu, na misingi ya uongozi. Msigwa, aliyewahi kuwa kiongozi mashuhuri ndani ya Chadema, sasa anaonekana...
Back
Top Bottom