Kile kilio cha walimu ajira mpya kutokulipwa pesa zao za kujikimu kimeifikia wilaya ya kishapu.
Awali uongozi wa halmashauri ulisema haujalipa kwa sababu pesa haijafika kutoka hazina, ila baada ya tamko la waziri kuwa pesa yote imeshazifikia halmashauri, kishapu iliwalipa walimu wa msingi pekee...
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa.
Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
Anonymous
Thread
ajira mpya
dar
hospitali
hospitali ya rufaa
kujikimu
mwananyamala
pesayakujikimu
Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
Anonymous
Thread
chuoni
kujikimu
loan
mpaka
pesapesayakujikimu
sanaa
sua
wanafunzi
year
Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze.
Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa.
Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
Anonymous
Thread
chalinze
halmashauri
halmashauri ya chalinze
hatujapewa pesayakujikimu
hela
hii
kero
kitu
kujikimu
labda
mara
pesapesayakujikimupesa za kujikimu
sio
tena
watumishi
wilaya
Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo tu, tafadhali tunaomba muwasiliane nao.
UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE
Ijumaa, Mei 17, 2024
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke...
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni.
Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
Habari wakuu,
moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost.
Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
WAKUU,
WASALAAM
serikali yetu kwa sasa inavuna pesa nyingi,
mfano Tozo kwenye miamala ya fedhaa tuchukulie makato ya 800 zaman saiz ni 1350: serikali inachukua kama 500+ hivi........
Tanzania ina watu wanaokadiriwa kwa wastani 21000000+wanaofanya miamala kwa siku
(500×21000000=10500000000) kwa...
Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia.
Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y.
Serikali tuoneeeni huruma
Habari za mda huu wakubwa,
Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo?
Je, Rais samia ameamua kuiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.