Haijalishi ni used au bikra
Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu.
Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.
Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max.
Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
Lebanon imehamanika kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita na bado kila siku inapigwa katika ya Beirut.
Kama kweli wanakerwa na mashambulio hayo basi serikali ya nchi hiyo haina budi iache kuwafutata futata Hizbulllah na Hamas ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipambana na jeshi la Israel baada...
Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa mama mmoja sasa ukiona hupendi watoto wanene ukawabagua kwa kiasi hicho na ukawanyima haki zao.
Yapata miaka 113 toka meli hii ya Titanic ilipozama katika bahari ya Atlantic ikiwa katika safari yake ya kwanza ikitokea Southampton kuelekea New york baada ya kugonda iceberg na kuzama huku ikisababisha vifo vinavgokadiliwa kuwa zaida ya 1500 . Mengi yameongelewa juu ya meli hii na ajari yake...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
"Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na kwenda katikati ya mlango wa nyumba kutokea nje akiwa ameufungua mlango huanza kuongea Kwa kunong'ona...
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.
Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli:
1. Kurithi Mali
Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini,
Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma
Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo.
Uchawa kwenye mamlaka...
Watu wanalalamika kuwa paper imevuja,but ukiuliza ipi iliyovuja wanakuambia ni TMO ii pekee,vipi hizo zingine nazo zilizofanyika mbona hatusikii zikilalamikiwa?,
Matokeo ya hiyo paper inayolalqmikiwa kuvuja yatawashangaza wengi.
HILI NDIO JUKUMU PEKEE WALILOJIPA GENERATION SAMIA
Mkurugenzi na Mratibu Taifa wa Taasisi ya Generation Samia, Omari Kimweri Kibanga, amesema kuwa jukumu kuu la taasisi hiyo ni kuyaunganisha makundi mbalimbali na fursa zinazotengenezwa na uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt...
Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi.
Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu..
Watu wanaweza. Wakupe mchango wa
Harusi
Birthday party
Rambi Rambi
Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoje🤣
Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mpaka sasa Tanzania ina...
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo