pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa. ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  3. JamiiForums Tanzania Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

    Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini Lakini tafauti kubwa ni Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1 kichwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
  5. JamiiForums Tanzania Aljazeera ndo chombo pekee kinaripoti taarifa kwa ufasaha

    Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa nzito ya kusambaza taarifa za uongo, kujiuzulu huzu kunaambatana na faini ya $1B ambayo trump ametaka...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano D9: resiliency pekee ndo itawatoa watawala

    Wakuu kuelekea D9 kuna angalizo muhimu hapa. Mafanikio yamejengwa kwenye msingi wa uendelevu na kushikilia bomba. Wanajeshi wala polisi hawatawazuia waandamanaji kwenda Ikulu. Wanajeshi wamejiapiza kuzuia vurugu tuu hivyo endapo waandamaji hawatosababisha vurugu basi mwendo wa Ikulu utakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

    Kuna nyakati ambazo nchi huingia katika aina fulani ya ukimya usio wa kawaida—ukimya wa kidijitali. Mamlaka zinapositisha au kupunguza kasi ya intaneti, ghafla maisha ya watu milioni kadhaa hukwama: biashara husimama, wanafunzi hushindwa kuendelea na mitihani ya mtandaoni, na familia hushindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee wananchi hupenda kuwaona watoto wa marais hawaendelei

    Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKO🤣😂 NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha. Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
  10. JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  13. JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  14. JamiiForums Tanzania UN imekatalia gaza pekee. Sudan na pengine wapo kimyaaa!!

    Kuna wakati trump aliwa diss sana sana UN, ni namna gani wapo bias na wanafiki Sasa ndio naelewa kwanini This is what we call paid activism, wanafurahia pesa za mafuta hawa🚮🚮
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  16. JamiiForums Tanzania Radio47 ya Kenya ndio redio pekee ninayoifuatilia sasaivi

    Naomba watanzania wenzangu muifuatilie hii redio maana inatoa habari ambazo ni za uwazi na lugha wanayoitumia ni Kiswahili, unaweza kuhisi ni redio ya Tanzania kumbe ni ya Kenya. ASANTE KENYA
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee au wenye macho mmeng'amua

    Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka. Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje? CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Simu za WhatApp pekee ndiyo hawawezi kurekodi

    Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe wakurya ni wababe kwa wake zao pekee

    Where is the spirit abhamuraaa!!! 🚮🚮🚮
  20. JamiiForums Tanzania Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    I salute you kinsmen Tayari miloud kashatimuliwa Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…