pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wito wa dharura kwa Serikali: Mbinu pekee ya kupambana na TFF kisayansi bila kumwaga damu!

    1. Mpeni maiki mzee Warioba aitishe mchakato wa Katiba Mpya kuanzia Sasa, Lissu na Polepole wateuliwe Moja Kwa Moja kuwa wabunge wa mchakato wa Katiba Mpya, watoke huko walipo Hadi Bungeni. Wawekwe safe house chini ya uangalizi wa Serikali kwa usalama wao, wanafamilia pekee waruhusiwe kuwaona...
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

    Habari wana JF, Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia. Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali...
  3. JamiiForums Tanzania Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania

    Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania. Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

    Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
  5. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoharibu ubora wa Sperm

    KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wokovu, je waweza kuokoka na ukawa mkatoliki? au Mlutheri, au wokovu ni kwa "walokole" pekee?

    UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ni chama pekee kinachohubiri amani

    "Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  9. JamiiForums Tanzania Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

    Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm. Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi pekee ninaepata changamoto na customer care ya CRDB bank?

    Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police. Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

    Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29. Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao. 1. Kwanza kususia huo uchaguzi kuliwatia hofu sana ccm ndiyo maana walitumia kila njia ionekane kuna foleni za wapiga...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  15. J

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

    Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo. Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kinachoonyesha serikali ipo salama ni Siri zake kutokuvuja

    Hamjambo wote! 1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka. 2. Siku zote nasemaga adui mwenye nguvu ni yule aliyepo ndani kuliko wa nje. 3. Kadiri Siri zinavyolindwa ndivyo nguvu...
  19. JamiiForums Tanzania Followers wa CHADEMA kwenye x.com ni 32K pekee wakati CCM wapo 882.9K

    CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena. Check hapa: Wameshindwa hata ku verify account yao
  20. JamiiForums Tanzania CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…