Denis ni mfanyakazi wa moja ya ubalozi wa nchi maarufu sana hapo Oysterbay, miaka mitano iliyopita alikuwa mkoani Iringa kikazi, vijijini huko wazee wa mamiradi na ma padiem, hana demu hana nini, ghafla kijijini huko akaona mali kali sana, vijana wanasema pisi ya kwenda, ikabidi aipigishe sound...