1. Julius Nyerere
Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
Ukiangalia hii video, huyo dada aliyevaa nguo za CHADEMA ameonyesha ujasiri sana, amekwenda mbele kumuokoa huyo jamaa kutoka kwenye kipigo cha polisi, wenzake ndipo wakafuata....
Akarudi tena kama anataka kwenda kumuokoa na yule mwingine lakini akaona hawezi peke yake...
Nimemkubali sana, hivi...
Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Buriani Jobu Ndugai
Deni T 116..?
Maono yako juu ya nchi yetu, ni kweli na sasa karibu tunaanza kuyaishi
Deni la Taifa linatishia uhai wa nchi yetu,
Wakati tukielekea Uchaguzi magumashi, kila pembe ya nchi yangu, wabunge, mawaziri na wanaojitokeza kwenye vyombo mbalimbali vya habari, wote...
"Warioba anajitahidi lakini yupo peke yake, kina Pinda watoke sasa wazungumze kuhusu mustakabali wa nchi tuna majaji wakuu wastaafu , maspika wabunge wakina Makinda , Pius Msekwa na hata majenerali wastaafu, mabolozi wastaafu, wafanyabiashara, vijana ,wafanyakazi, wake kwa waume tuisaidie nchi...
Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga?
upuuzi kama huu.............Tanga...
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua...
Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu!
Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya
Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.
Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.
Kwa miaka...
Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote!
Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha!
Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake
Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake?
1. Industrial products zake ataziuza wapi?
2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi?
3. etc etc
Wataalamu wa uchumi tuelewesheni
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.
Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
===
MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU
Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui Dunia inaelekea wapi.
Mbowe ana Mentality ngumu sana kueleweka na watu wenye akili timamu. Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.