Ikiwa TAKUKURU ni taasisi huru, tafadhali chukueni hatua juu ya malalamiko yanayoendelea kuibuka, kwani watu wengi hawaridhishwi na namna Bw. Wallace Karia anavyosimamia rasilimali fedha za TFF.
Aidha, mtu huyo anaonekana kuwa na upendeleo mkubwa katika maamuzi yake.
===
If PCCB is independent...