pccb

  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa. Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkurugenzi wa PCCB: Mkuu wa PCCB mkoa Kagera ni mla rushwa

    Mkuu pole na kazi, Kwa masikitiko napenda kukujuza kuwa vitendo anavyofanya huyu kiongozi wa PCCB mkoa wa Kagera haviachi chembe yoyote kuhusu rushwa. Kiongozi huyu amekuwa akishirikiana na watu tunao wajua tabia zao za kudhurumu watu mali zao na kisha kukimbilia kwa kiongozi huyu wa pccb ili...
  3. W

    JamiiForums Tanzania PCCB Tanzania, to investigate the two tax collectors TRA and ZRB.

    Nimekutana na huu uzi ... Kwamba PCCB iko mbioni kuzimulika TRA na ZRB kwa kuihujumu serikali katika kukusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi kielektroniki e-RCS, kwa kuuzima mara kwa mara na kumdanganya Rais Magufuli kwamba umeharibika, kumbe TRA na ZRB na maafisa wa wizara ya fedha...
Back
Top Bottom