Naweza kufungua account ya kupokea kwa Paypal Tanzania kwa sasa?

talentbrain

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,188
759
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.

Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal.

Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi.

Kwa kutambua hilo naomba kujua namna rahisi ya kufungua aina hii ya account sio ile ya kulipia tu bali ya kupokea malipo pia kwa Tanzania na nika integrate na website yangu?

Nategemea msaada wenu wa mawazo na pia kama kuna hatari ya gharama na kupoteza pesa ni vema mniambie na kama mtakuwa na njia nzuri zaidi mnishauri pia.

Ahsanteni.
 
Niliwahi kununua kitu eBay na bidhaa haikutumwa nilirudishiwa pesa yangu kupitia PayPal na ikarudi kwenye account yangu y benki
 
Kurudishiwa inawezekana, ila kupokea malipo ndio bado inasumbua sana.
 
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.

labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal. Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi. Kwa kutambua hilo naomba kujua namna rahisi ya kufungua aina hii ya account sio ile ya kulipia tu bali ya kupokea malipo pia kwa Tanzania na nika integrate na website yangu?

Nategemea msaada wenu wa mawazo na pia kama kuna hatari ya gharama na kupoteza pesa ni vema mniambie na kama mtakuwa na njia nzuri zaidi mnishauri pia.

Ahsanteni.
Account yangu ya Paypal nilifungulia nje ya nchi inaweza kupokea pesa, kama unahitaji msaada wa kupokea hela tuwasiliane
 
Niliwahi kununua kitu eBay na bidhaa haikutumwa nilirudishiwa pesa yangu kupitia PayPal na ikarudi kwenye account yangu y benki
Ukiwa refunded pesa inarudi kwenye ilipotoka, hiyo inaitwa refund wala hujapokea pesa umerudishiwa chako. Paypal Tanzania haipokei pesa isipokuwa refund. Ungekuwa umenunua hata kwa mpesa mster card, ingerudi kwenye hiyo mpesa master card.
 
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.

Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal.

Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi.

Kwa kutambua hilo naomba kujua namna rahisi ya kufungua aina hii ya account sio ile ya kulipia tu bali ya kupokea malipo pia kwa Tanzania na nika integrate na website yangu?

Nategemea msaada wenu wa mawazo na pia kama kuna hatari ya gharama na kupoteza pesa ni vema mniambie na kama mtakuwa na njia nzuri zaidi mnishauri pia.

Ahsanteni.
Fungua kwa kuweka location ya kenya utahitaji uwa na line ya kenya ya safaricom, halafu utumie majina ya hiyo line, na ukishaipokea utaitoa kupitia hiyo hiyo line then utaituma mpesa tanzania. Hii njia ubaya wake ni kwamba siku wakifunga acc yako uverify identity ndipo utajua kuwa ni vigumu kusoma teknolojia wa lugha ya kiswahili.
 
Ahsante kwa ushauri wako. Ni wapi naweza pata line za kesnya hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom