paulo

Paulo is a Portuguese masculine given name equivalent to the English name Paul. Notable people with the name include:

Paulo Jr., Brazilian bassist
Paulo Jr. (footballer), Brazilian footballer
Paulo Alho (born 1980), Portuguese race car driver
Paulo Almeida, Brazilian footballer
Paulo André Cren Benini (born 1983), Brazilian football defender
Paulo Angeles (born 1997), Filipino actor, singer and dancer
Paulo Avelino (born 1988), Filipino actor and film actor
Paulo de Carvalho (born 1947), Portuguese singer-songwriter and actor
Paulo Coelho (born 1947), Brazilian lyricist and novelist
Paulo Dybala (born 1993), Argentine professional footballer also called "La Joya"
Paulo Fernando Craveiro, Brazilian author
Paulo Freire (1921–1997), Brazilian educator and philosopher
Paulo R. Holvorcem, Brazilian amateur astronomer, a prolific discoverer of asteroids
Paulo Jorge (disambiguation), several people
Paulo Kanoa (1802–1885), Governor of Kauaʻi
Paulo P. Kanoa (1832–1895), Governor of Kauaʻi
Paulo Machado (disambiguation), several people
Paulo Miklos (born 1959), Brazilian multi-instrumentalist, musician and actor
Paulo Muacho (born 1990), Portuguese politician
Paulo Antonio de Oliveira (born 1982), Brazilian football striker
Paulo Oppliger (born 1971), Chilean alpine skier
Paulo Orlando (born 1985), Brazil-born Major League Baseball player
Paulo Ribenboim (born 1928), Brazil-born mathematician who specializes in number theory
Paulo Ribeiro (disambiguation), several people
Paulo Rogério da Silva (born 1970), also known as Gero Camilo, Brazilian actor, director, poet and musician
Paulo Santos (disambiguation), several people
Paulo Sousa (disambiguation), several people

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Paulo Chacha: Lengo la Kwanza la CCM ni kushika Dola

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mathayo na Luka daktari wa Rafikiake na Paulo nani anadanganya kuhusu kifo cha Msaliti Yuda?

    Mathayo 27:5: Yuda akaenda akajinyonga. Matendo ya Mitume 1:18: Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
  3. Sonship

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mbezi -Makabe kwa Paulo

    NYUMBA INAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO) Fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba kubwa katika eneo zuri na lenye miundombinu bora. Sifa za nyumba: ✅ Vyumba 4 vya kulala ✅ Master Bedroom 1 ✅ Vyumba 3 vya kawaida ✅ Sebule na Dining ✅ Jiko kubwa ✅ Public Toilet ✅ Store Room Maelezo ya Kiwanja: 📐...
  4. Sonship

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe-kwa Paulo

    KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO) 📍 Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa. 📐 Kiwanja kimepimwa Ukubwa: 4,333 m² (Takribani Ekari 1.07) ✅ Eneo Kuu: 3,131 m² ✅ Swamp: 1,202 m² ⭐ Sifa za Kiwanja ✔️ Eneo ni tambarare, halina mabonde wala...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Paulo alisema kila mtu atabeba mzigo wake (dhambi zake) kama ni hivyo yesu alikuwa kwa dhambi za nani?

    Yesu alituhakikishia dhambi zetu alizifia msalabani je nani mkweli? Karibuni
  6. B

    JamiiForums Tanzania Paulo Saburi Kilonzo (c. 1890–1979) mtanzania wa Pare (Vu-Asu) kutoka Kilimanjaro Tanzania mwana wa 'Mrungu wa Gu' (Mungu wa vita)

    April 2 2021 Kilonzo, Paulo Saburi (c. 1890–1979) Na Gadi Kilonzo Ilichapishwa kwa Mara ya Kwanza: Machi 29, 2021 Mhubiri painia, mchungaji, na mmishonari katika Afrika Mashariki, Paulo Saburi Kilonzo alitoka katika watu wa Pare (Vu-Asu) wa Milima ya Pare ya safu za milima ya pwani ya...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya Paulo na Yesu nani alianzisha ukristo?

    Ukisoma biblia, kwa makini bila mawenge na uzwazwa wa imani, hutakuta mstari hata mmoja ulioandikwa na Yesu. Ni mara moja tu Yesu aliandika. Ni pale alipoletewa mwanamke 'kahaba'. Alipoulizwa nini kifanyike, Yesu aliandika kwenye mchanga akiwataka waliokowa wakimtuhumu wampige mawe kama...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, itakuwaje Paulo akisimama kukushuhudia siku ya hesabu na akakuambia?

    "Samahani, nilikwisha kukuambia kwamba nitakudanganya," kisha akakukabidhi Biblia na kukuomba usome Warumi 3:7: “Lakini ikiwa kwa uongo wangu kweli ya Mungu imezidi kudhihirika kwa utukufu wake, mbona mimi bado nihukumiwe kama mwenye dhambi?” (Warumi 3:7) Sasa utakuwa na udhuru gani? Je...
Back
Top Bottom