paula

Paula Julie Abdul (born (1962-06-19)June 19, 1962) is an American singer, songwriter, dancer, choreographer, actress, and television personality. She began her career as a cheerleader for the Los Angeles Lakers at the age of 18 and later became the head choreographer for the Laker Girls, where she was discovered by The Jacksons. After choreographing music videos for Janet Jackson, Abdul became a choreographer at the height of the music video era and soon thereafter she was signed to Virgin Records. Her debut studio album Forever Your Girl (1988) became one of the most successful debut albums at that time, selling 7 million copies in the United States and setting a record for the most number-one singles from a debut album on the Billboard Hot 100 chart: "Straight Up", "Forever Your Girl", "Cold Hearted", and "Opposites Attract". Her six number one singles on the Billboard Hot 100 tie her with Diana Ross for seventh among the female solo performers who have topped the chart.Abdul was one of the original judges on the television series American Idol from 2002 to 2009, and has since appeared as a judge on The X Factor, Live to Dance, So You Think You Can Dance, and The Masked Dancer. Notably, she received choreography credits in numerous films, including Can't Buy Me Love (1987), The Running Man (1987), Big (1988), Coming to America (1988), Action Jackson (1988), The Doors (1991), Jerry Maguire (1996), and American Beauty (1999). She has received seventeen MTV Video Music Award nominations, winning five, as well as receiving the Grammy Award for Best Music Video for "Opposites Attract" in 1991. She received the Primetime Emmy Award for Outstanding Choreography twice for her work on The Tracey Ullman Show, and her own performance at the American Music Awards in 1990. Abdul was honored with her own star on the Hollywood Walk of Fame, and is the first entertainer to be honored with the Nickelodeon Kids' Choice Awards' Hall of Fame Award.

View More On Wikipedia.org
  1. sinza pazuri

    Rayvanny afunguka kuhusu Harmonize, Paula, lebo ya NextLevel na mengine kuhusu muziki wake

    Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo " Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
  2. mr gentleman

    Rayvanny na Paula: Ni couple yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania

    Ni couple ambayo imekumbwa na vizingiti vya hapa na pale so bado inaenda kimya kimya. Ila ni swala la muda tu, siku ambayo mahusiano ya hawa wawili yakienda rasmi public itakuwa ndio couple yenye nguvu zaidi kuwai kutokea Tanzania. Itakuwa zaidi ya Juma Nature na Sinta. Itakuwa ni zaidi ya...
  3. Quavohucho

    Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

    Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa; Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo. Inasemekana msanii Huyu alikuwa anampigia video call Paula (step daughter...
  4. Slowly

    Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

    Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya Faragha na mtoto wa aliyekuwa mpenz wake. Rayvanny alivujisha mawasiliano hayo huku akimtuhumu...
  5. Slowly

    Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
  6. sinza pazuri

    Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

    Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
  7. Slowly

    Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

    Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya...
  8. brave one

    P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

    Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula. "Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti...
  9. A

    Rayvanny usijofu: Paula Kajala anamiaka 19 hadi 20 na siyo mwanafunzi

    Paula Kajala ni kigoli Kamaliza form mwaka 2018 tupige hesabu hii tujue miaka yake. 1. Kama alianza shule msingi na miaka 7 inamaana form 4 alimaliza na miaka 17 mwaka 2018 inamaana leo mwaka 2021 atakuwa na miaka 20 2. Kama alianza shule ya msingi na miaka 6 inamaana form 4 alimalimaliza na...
  10. H

    Issue ya Rayvanny na Paula haina tofauti Sana ya kwangu

    Habari nduguzangu Kwanza kabisa naomba mod msiunganushe uzi wangu na ule please.Hii issue ya Rayvanny na Paula imenigusa Sana kwasababu inafanana Sana na tukio lililowahi kunikuta mwaka Jana tofauti yangu na Rayvanny Ni moja tu Mimi nililala na Mwanafunzi kabisa yupo form 6 shule ya government...
  11. Slowly

    Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
Back
Top Bottom