Francis: Pray for me (Spanish: Francisco – El Padre Jorge, lit. 'Francis – Father Jorge') is a 2015 Argentine film, starring Darío Grandinetti as Pope Francis. The film is based on the 2013 book, Pope Francis: Life and Revolution, which was written by Francis' close friend Elisabetta Piqué who is also a correspondent for the Argentine newspaper, La Nación in Italy and the Vatican since 1999. The film was released as Papa Francisco: The Pope Francis Story in the Philippines.
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa...
🕊️
#Mazishi ya PapaFrancis yanazua maswali mengi kuliko majibu. Kuondoka kwa mila ya karne nyingi ni kitendo cha makusudi na cha mfano. Lakini ni nini maana ya kweli nyuma yake? Je, ni unyenyekevu tu—au jambo la ndani zaidi?
⚔️ MWISHO WA ENZI: KUVUNJIKA NA MILA ZA Ufalme
Kwa karne nyingi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya...
Wakuu nipo hapa natafakari msiba wa papa Francis,nimejiuliza huko kwa Mungu kweli tutapewa haki sawa?
Yani mimi ambae muda wote nawaza wanawake na pombe nihukumiwe sawa na papa Francis ambae maisha yake yote kajitolea kumtumikia Mungu?
Ebu tuache kujifariji kwa hizi nadharia please.
Pamoja na kwamba papa Francis hakuacha mamilioni ya pesa katika utajiri wake,vile vile hata maziko yake hayakuwa ya kifakhari sana.Yamefanana sana na vile waislamu wanavyozikana.
Mazishi ya kiislamu hata afe mfalme basi huzikwa kikawaida sana.Wengi wao huzikwa siku hiyo hiyo wanayokufa na bila...
1. Poleni Wakatoliki kwa kumpoteza Baba Mtakatifu.
2. Maziko haya simple wanatoa funzo kwa Watawala Miungu Watu wanaodhani wataishi milele na kupigiwa saluti. Kumbe siku unazima ulinzi na wapambe vinapotea hapo hapo
3. Tukanyage hii ardhi kwa adabu Ndugu zangu. Hapa tunapita Tu...
Gazeti lenye mrengo wa serikali ya Israel la Haaretz limesema nchi hiyo haitapeleka kiongozi yoyote kuiwakilisha kwenye mazishi ya papa Francis anayetarajiwa kuzikwa hapo kesho.
Utawala wa nchi hiyo mara nyingi umekuwa ukimuona papa Francis kama mtetezi wa wapalestina.
Kiongozi huyo wa kanisa...
Kuanzia Mkusanya Taka Hadi Papa wa Watu — Safari ya Jorge Mario Bergoglio
Alizaliwa Buenos Aires kwa wazazi wahamiaji kutoka Italia, Jorge Mario Bergoglio alikulia katika familia ya hali ya chini yenye maisha ya kazi na kujituma. Maisha yake ya awali hayakuwa ya kifahari—alifanya kazi kama...
Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa...
Misa ya Mazishi ya Baba Mtakatifu Francisko itafanyika Jumamosi ijayo, tarehe 26 Aprili 2025, mbele ya Kanisa kuu la Mtakatifu Petro, kama ilivyoelezwa katika ‘Ordo Exsequiarum Romani Pontificis.’
Hayo yametangazwa na Ofisi ya Maadhimisho ya Liturujia za Kipapa, tarehe 22 Aprili, huku...
Vatican wamethibitisha kuwa Papa Francis amefariki dunia Jumatatu asubuhi kutokana na kiharusi kilichofuatiwa na kushindwa kwa moyo.
Taarifa rasmi imeeleza kuwa afya ya Papa ilikuwa tayari imedhoofika kutokana na matatizo ya kupumua, shinikizo la damu pamoja na kisukari
Mapema mwaka huu, Papa...
Wengi wakisikia uchaguzi wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, wanadhani ni uchaguzi kama hizi chaguzi tunaazozifanya kuwachagua viongozi wa kijamii.
Mchakato wa Uchaguzi wa kumpata Papa, ni mrefu na mgumu kwa sababu umejengwa kwa msingi wa kiimani kuliko werevu wa kibinadamu. Mambo muhimu...
Kufuatia kufariki kwa Papa Francis, seti kali ya sheria na itifaki zimewekwa katika mwendo, kuongoza mpito kwa ajili ya kuchagua Papa ajaye. Tamaduni hii inaanzia kwa Mtakatifu Petro—Papa wa kwanza—aliyeaminika kuwa alichaguliwa na Yesu mwenyewe
Baada ya Kifo cha Papa Francis, Mchakato...
Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican.
1. William Ruto, Kenya
2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania,
3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO.
4 Keir - Waziri Mkuu UK,
5. Kagame - Rwanda,
6. Museveni - Uganda.
7...
UT ANIMA P. FRANCISCI TUUS REQUIESCAT"
"MAY YOUR SOUL REST IN PEACE POPE Francis'
"Kaka na dada wapendwa ni kwa huzuni kubwa kwamba sina budi kutangaza kifo cha Baba yetu Mtakatifu Francisko. Saa 01.35 asubuhi ya leo, (Jumatatu 21 Aprili 2025),Askofu wa Roma, Francisko, alirejea nyumbani kwa...
1. To me, nikiangalia watawala wa Afrika ambamo papa anategemewa kutoka, ninakuwa na wasi wasi mwafrika kushika nafasi hiyo! Ukabila, ndugunisation, rushwa, kuua wapinzania na maujinga mengi ya waafrika yanaweza kupelekwa Vatican.
2. Kama Marais wa Afrika wako kama tunavyowona akina mama...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka...
Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili.
Daktari...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
“Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart.
People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.