pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 28 ya Benki ya Exim Tanzania: Safari ya Ukuaji, Ubunifu na Kusonga Mbele Pamoja na Wewe

    Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2025. Kushoto ni Eugen Massawe, Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya benki hiyo. Afisa Mtendaji Mkuu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  3. JamiiForums Tanzania Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  5. JamiiForums Tanzania pamoja na yote ya Pole Pole lakini huu wimbo wake ni mzuri sana aisee

    sikiliza hii ngoma aisee.. ni bonge la pini aisee
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukitumikia chama na serikali chama kimeshindwa mkumbuka Ndugai katika mapokezi ya uchukuaji form ya ugombea Urais 2025

    Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba burudani iendelee
  7. JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  8. JamiiForums Tanzania Hebu tuvunje mbavu kwa pamoja

  9. JamiiForums Tanzania Huyu Mwamba wala hakukosea kujiita Uncle Mafiksi (Mtu muongo muongo) hebu tuvunjike Mbavu zetu kwa pamoja

  10. JamiiForums Tanzania Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

    Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas. BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Babalevo kucheza kamali ni wa muhimu kuliko Philipo Mpango

    Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
  12. JamiiForums Tanzania Arusha; Ngarenaro;Dogo janja atoa ahadi ya kutokomeza Vibanda vya pombe haramu,mirungi pamoja na Bangi katika kata yake.

    Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa ...
  13. JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu nielekezeni kwanini chief draftsman wa Sheria anatoka ofisi ya tume ya fedha ya pamoja

    Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
  15. JamiiForums Tanzania Mr Electronics: Jipatie vifaa vya kielectronic kama Computer ,Sound Sustems, phone accessories pamoja na vingine vingi kwa bei ya Store

    Tunauza: 💻 Kompyuta (Desktop & Laptop – mpya & used) 🖥️ Vifaa vya kompyuta (keyboard, mouse, monitor, printer n.k) 🎧 Sound systems (speakers, home theaters, Bluetooth systems) 🔌 Accessories mbalimbali (USB cables, screen protectors, covers,adapter,Air pods,headphones n.k) ⚡ Vifaa vya umeme vya...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  17. JamiiForums Tanzania ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

    Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Nimejiuzulu ili kuonesha kutofurahishwa na mwenendo wa serikali pamoja na chama

    Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
  19. JamiiForums Tanzania Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  20. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…