Wanaukumbi.
Netanayahu anaanza kutapatatapa na kulia lia. Kama kawaida yake anataka kuonewa huruma washirika wake wakubwa. Uingereza, Canada, Australia, Ufaransa, ambao walikuwa wanampa silaha na pesa kwenda kupigana na Hamas wamechoka sasa kuona misaada yao inaenda kuuwa watoto na raia...