The Partnership for Acid Drainage Remediation (PADRE) is a European-based scientific-technical association dedicated to acid mine water related topics.
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili.
Akitoa taarifa hiyo...
Wakuu,
Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani".
Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea haki na amani nchini Tanzania, iliyofanyika Agosti 23, 2025 katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane, Jimbo Katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo alisitiza umuhimu wa kuiombea taifa huku tukitambua wajibu wetu kwani anaevunja haki au kuharibu amani...
Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani nchini Tanzania katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane Jimbo katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo amesema " Sababu unasikia wakati mwingine 'kura zimeibiwa' sidhani kama ni wendawazimu wanaoibua maswali ya namna hiyo, huwezi...
Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
Tumsifu Yesu Kristo!
Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo.
Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950.
Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Chuo cha SAUT ya Mwaka 2010, amemteua Padri Prof. Juvenalis Asantemungu kuwa...
Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani.
https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282
Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais .
Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
Lala salama mtumishi wa Mungu aliye hai.
Nilichojifunza kwako ni kwamba Mungu wetu hawekewi mipaka, yeye humpa karama amtakaye kwa sifa na utukufu wake.
Felician V. M. Nkwera
Felician Venant Nkwera (alizaliwa Luilo, leo katika Wilaya ya Ludewa, mkoa wa Njombe[1], 28 Aprili 1936 (umri 89)) ni...
BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima.
Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
dhidi
ikulu
jasusi
kanisa
kanisa katoliki
kanisa katoliki tanzania
katika
katoliki
kitima
maajabu
miezi
miezi miwili
padrepadre kitima
shambulio
tanzania
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka.
Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
Ingawa Kanisa Katoliki litasema watu wasiongee mambo yanayoweza kuleta vurugu,lakini hili ni jambo ambalo litawachanganya sana waumini. Kwa sababu Ukristo ni Dini ya amani.
Na Bwana Yesu ametufundisha kuchukua Msalaba Wake na kumfuata.
Iweje leo vibaka wanamshambulia kiongozi mkubwa wa Dini...
Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea...
Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani.
Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari
KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ?
. Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.
===
Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini.
Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA?
Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
ajenda
baraza
freeman mbowe
kanisa
kanisa katoliki
katibu
kitima
kufanikisha
lissu
maana
msimbazi
mungu
padre
padri kitima
tundu antipas lissu
uchaguzi 2025
uchaguzi chadema 2024/2025
uongozi
👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.