orodha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania tangu mwaka 1961

    Hii ndiyo orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Tanzania imekuwa na jumla ya Mawaziri Wakuu 12 hadi sasa, na hii leo, Novemba 13, 2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajiwa kupokea jina la Waziri Mkuu mpya, ambaye...
  2. JamiiForums Tanzania Chukueni orodha ya waandamanaji wote ili wasiwe na sifa ya kuajiriwa na kuwa Watumishi wa umma

    Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025. Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Godbless Lema atoa orodha ya waliotekwa/kupotezwa kwenye kanda za kichama tangu kuanza kwa kampeni Agosti 28, 2025

    Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X 1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja Jina: Abedinego Sanga Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa Njombe Umri: Kati ya miaka 28-30. Mahali alipotekwa Kijiji cha Matembwe akiwa kwenye duka lake la...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

    1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela
  7. JamiiForums Tanzania TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

    Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA). Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa...
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya Maadui wa CDM

    Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako. Ongeza orodha
  9. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Orodha ya majimbo yatakayotolewa kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi

    Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025. Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara. Tuwatonye mapema ili wasitumie nguvu nyingi kwenye uchaguzi.
  10. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Wakuu, Ni ukweli usiopingika kuwa Hiphop siku hizi imekuwa ni nyepesi mno tofauti na zamani Siku hizi bars zimekuwa nyepesi na hata staili ysa kuchana imebadilika mno. Leo kuna playlists moja nimekutana nayo huko Spotify. ilikuwa na nyimbo za marapa hawa ambao tangu kitambo wako kwenye game...
  11. JamiiForums Tanzania ORODHA ya vijana wa Rostam na Kikwete

    1. January Makamba kkata ni geresha 2. Nape Nauye 3.Mwiguru mchemba 4.Rizi 1. 5 6. Ongezea na wewe
  12. JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  13. JamiiForums Tanzania Orodha ya Mambo mabaya ambayo humtokea mwanadamu

    Tujitahidi kuorodhesha tumwekee RATIBA akutane nayo 1. Kutekwa 2. Kuuwawa 3. KUBAMBIKIWA KESI 4. AJALI HOPE YOTE YATAKUTOKEA
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tume Ya Uchaguzi Inatakiwa Kumfuta Kwenye Orodha ya Wagombea.

    Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa. Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni mgombea pekee wa nafasi ya Urais kupitia chama haramu, amegawa mitungi ya gas nchi nzima, amegawa pikipiki...
  15. JamiiForums Tanzania Orodha ya kazi/nafasi ambazo muda wowote unaweza kuingia matatizoni, kujaa kwenye mfumo au sifa yako kuchafuka

    1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana -Huyu muda wowote kinaumana 2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike -huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini 3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha 4. Daktari anayehusika na wajawazito 5...
  16. JamiiForums Tanzania Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

    Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama. Hongera...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    1. St Judy schools 2. vision fund 3. Halmashauri za wilaya 4. Akiba commercial bank 5. Tanzania commercial bank 6. Dcb bank 7. Dtb bank 8. IPP media 9. Toyota Tanzania 10 . Car & General Trading Ltd 11. Rotana Hotel 12.J eshi la Magereza 13 . Jeshi la zimamoto 14. Kampuni za ulinzi 15. Mahakama...
  18. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gazeti la Kenya limeto Orodha ya watu 60 wanaokumbukwa kwenye maandamano ya leo 25.06.2025 Kenya. Je, gazeti gani Tanzania linaweza kufanya hivi?

    Wakuu Gazeti la Daily Nation la Kenya limechapisha orodha ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya mwaka 2024 huko Kenya ambao wengi walikuwa ni Genz. Je kuna gazeti la Tanzania linaloweza kufanya hivi? === Mwaka mmoja uliopita, Kenya ilikumbwa na wimbi la maandamano yaliyosababishwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu Hatari Wanaoweza Kulala na Mkeo

    1. Mchungaji wake 2. Tajiri 3. Mwalimu wa mazoezi 4. Rafiki yake wa kiume 5. Daktari wa familia Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani. https://youtu.be/mukEPwaGAOo
  20. JamiiForums Tanzania The List | Orodha

    Hii siyo ile tamthiliya ya Orodha aliyoandika Steve Reynolds (Ile wakongwe tulijibia mtihani wa kidato cha nne laahasha. Huu ni mtimdo mwingine wa tamthiliya isiyokuwa ya kusadikima bali bayana katikati yetu; naanza na hii halafu mwenye kuongeza sawa ataongeza. 1. Job Ndugai, ilikuwa mwanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…