online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Hongera RITA kwa mfumo mzuri wa online services

    Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online. Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF. Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Morogoro (Ofisi ya Madai mtandaoni) shughulikieni APPROVAL za wateja wenu

    NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online

    Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa. Matapeli wanazidi kuwa wabunifu na wanatumia njia mbalimbali kama WhatsApp, Instagram, Facebook, na hata websites feki ili kuwaibia...
  4. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUUZA EBOOKS ONLINE NA KUTENGENEZA MPAKA MILIONI KILA MWEZI

    Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
  5. JamiiForums Tanzania Usaili kwanjia ya online

    Napenda kuuliza kwamlio wahi kufanya interview za utumishi kwanjia ya online, hua inakuaje? Sababu nimeitwa nasijui inakuaga vipi. Mnijuze kwamnao jua
  6. JamiiForums Tanzania Serikali itoe elimu ya kozi za ufundi online

    Helllo JF.... Nilikuwa na wazo... Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi... Ziwe free ku tackle shida ya ajira... Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online.. Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025

    Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025 Wafanyabiashara wengi wanafocus kupata wateja wapya tu... Lakini siri ya kukuza biashara ni hii hapa 👇 Kuwa karibu na wateja uliopata tayari. Kitendo cha kupata mteja ni gharama sana, Hizi hapa ni mbinu ninazotumia kila siku kuwafanya wateja...
  8. JamiiForums Tanzania Online writen interview za Utumishi wanatoa vipi maksi?

    Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi? Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na...
  9. JamiiForums Tanzania App / Link ya kuicheki game online

    Wakulungwa naomba msaada tajwa hapo juu tafadhali
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa hesabu online bure kabisa (Tanzania)

    Vijana mnao soma olevel kuanzia kidato cha kwanza hadi ya Sita. Jifunzeni hesabu online kwa huyu teacher yupo nondo sana. Channel yake ya YouTube ni: https://youtu.be/Y77Sx4L-RVw?si=tlGThfXpJSUdupmz Anafundisha bure
  11. JamiiForums Tanzania Karibuni Dr's online polyclinic

    Karibu Dr'sonline polyclinic Online Clinic – Huduma za Afya Mtandaoni, Haraka na Salama Karibu kwenye kliniki ya kisasa ya mtandaoni inayokupa huduma bora za afya ukiwa popote ulipo. Kupitia simu au mtandao, unapata ushauri wa kitabibu, vipimo, na dawa bila kulazimika kufika hospitalini...
  12. JamiiForums Tanzania ONLINE EXAMINATION SOFTWARE

    Habari wadau na wataalamu wa masuala ya software. Mimi ni mwalimu ambaye natafuta Online Examination Software kwa ajili ya wanafunzi wangu kufanya test/mitihani online kwa kutumia Simu au tablet za ndugu zao muhimu TU awe na account yake baada ya kusajiliwa. Mwalimu aweze kuandaa mitihani ya...
  13. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora. 2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa 👉 Badala...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Online Tv nyingi za Bongo hazina ubunifu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
  15. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya online business

    Habari wakuu wa JF nyote. Nipe mbele yenu nahitaji ushauri, mawazo na hata connection juu ya masuala ya online business. Mimi ni kijana na nilipo nina access ya internet (kuanzia saa tatu asubuh hadi saambili usiku) hivyo naona kutumia fursa hii kuangalia tu video tiktok na kuzunguka mitandaoni...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess. Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

    Habari zenu, naomba mwenye kujua anisaidie nipo na bidhaa yangu nataka kuuza siku nyingi ila kila nikijaribu naona nakwama toka kikuu ifungwe natamani kuuza kwenye hizi online shops kama hizo, amazoni,alibaba na alibaba and so. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania ONLINE APTITUDE TEST LINK

    Habari naomba links za kufanya aptitude test online, kwa ajili ya mazoezi. Kada ni Environmental studies. Asante
  20. JamiiForums Tanzania Sehemu 15 za kutazama movies & series bure (online) – no netflix, no stress!

    📌 Burudani bila kulipia? Ndiyo, inawezekana! Kwa mashabiki wa movies na series — kama wewe ni mpenda burudani lakini huwezi (au hutaki) kulipia Netflix, Showmax n.k., basi uzi huu ni kwa ajili yako. Mimi binafsi natumia zaidi OnStream na HDToday hizi sio lazima VPN — apps kali ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…