omar

Omar (English: , also spelled Umar ; Arabic: عمر بن الخطاب‎ ʿUmar ibn al-Khaṭṭāb, pronounced [ˈʕomɑr-,ˈʕʊmɑr ɪbn alxɑtˤˈtˤɑːb], "Umar, Son of Al-Khattab"; c. 584 CE – 3 November 644 CE), was one of the most powerful and influential Muslim caliphs in history. He was a senior companion and father-in-law of the Islamic prophet Muhammad. He succeeded Abu Bakr (632–634) as the second caliph of the Rashidun Caliphate on 23 August 634. He was an expert Muslim jurist known for his pious and just nature, which earned him the epithet Al-Farooq ("the one who distinguishes (between right and wrong)"). He is sometimes referred to as Omar I by historians of early Islam, since a later Umayyad caliph, Umar II, also bore that name.
Under Omar, the caliphate expanded at an unprecedented rate, ruling the Sasanian Empire and more than two-thirds of the Byzantine Empire. His attacks against the Sasanian Empire resulted in the conquest of Persia in less than two years (642–644). According to Jewish tradition, Omar set aside the Christian ban on Jews and allowed them into Jerusalem and to worship. Omar was eventually killed by the Persian Piruz Nahavandi (known as ’Abū Lu’lu’ah in Arabic) in 644 CE.
Omar is revered in the Sunni tradition as a great ruler and paragon of Islamic virtues, and some hadiths identify him as the second greatest of the Sahabah after Abu Bakr. He is viewed negatively in the Shia tradition.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI

    MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka uliowezesha Mamlaka hiyo kuendelea kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato kila mwezi na kueleza imani...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
  3. JamiiForums Tanzania Twalib Omar Muwa

    Bongo FM wana mtangazaji mpya,mwenye hilo jina hapo juu.Mimi simjui kabisa lakini ni mtangazaji mzuri sana,natamani kumfahamu zaidi.Mwenye kumfahamu ntafurahi akinipa historia yake.
  4. JamiiForums Tanzania Balozi Omar Ahimiza Wenye Mahitaji Maalumu Kuchangamkia Zabuni za Serikali Kupitia NeST

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu. Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Chris Cyrilo: Omar Kashera amenitafakarisha wakati akimuhoji mkuu wa Polisi wa zamani Omar Mahita

    Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano? Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi busara za Omar Mahita na Pascal Mayalla zimeanza lini?

    Mzee Mahita ameongea mambo mengi kiasi kwamba jamii haiamini anachosema. Mfano rais mstaafu kutumia vibaya madaraka kwa sababu katiba tuliyinayo ni mbovu na kumteua Said Mwema kuwa Igp kisa tu ameoa kwao. Na keleza namna vyombo vingine vya usalama vinakamata watu na kuwaweka kwenye sero za...
  8. JamiiForums Tanzania Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

    Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini" IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
  9. JamiiForums Tanzania Videos: Maneno ya Trump ya chuki dhidi ya Ilhan Omar 😂

    Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mzanzibari Haji Omar Kheir swaiba wake Samia awe wa kwanza kuwajibishwa kwenye mauaji ya October 29. Tuanze na huyu!

    https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali. Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau. Lazima avae karoti!!
  11. JamiiForums Tanzania Tafadhali Samuya na genge lako jifunze toka kwa Omar Bashir na Muamar Gaddafi

    Taifa linajua. Limepoteza watu wengi wasio na hatia. Linajua namna wafadhili wako wanavyojitahidi kukubakiza madarakani. Linajua kila kitu. Ila, kama unajitakia na kulitakia mema taifa, chonde chonde. Jifunze toka kwa watajwa hapo juu. Walifanya kama unavyofanya. Je, waliishaje na kuishia wapi...
  12. JamiiForums Tanzania Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

    D.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko USA ...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Omar aipongeza TET, atoa wito kuandaa Mtaala utakaosaidia kukabiliana na changamoto ya taka ngumu

    Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
  14. JamiiForums Tanzania Mhe. Balozi Ramadhan Omar Mapuri asisitiza uwajibikaji

    Rai imetolewa na Mjumbe wa Tume HURU Dr Cde Balozi Ramadhan Omar Mapuri kwa kuhimiza uwajibikaji.
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Omar: Wanajeshi Wastaafu, tunapata Pensheni chini ya kima cha chini, mimi napata 140,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho. Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
  16. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  17. JamiiForums Tanzania Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

    Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani. Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha...
  18. JamiiForums Tanzania ICON ya wasomali Ilham omar anaolewa na Myahudi soon atabadili dini! Pole Somali conservative

    Ilham Omar na Mumewe mtarajiwa. Mumewe ni Tim, myahudi wa ki-ashkenaz na mfanyabiashara. Soon Israel watakua wana influence somalia
  19. JamiiForums Tanzania Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia baada ya kimbunga Hidaya

    MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA KILINDONI MAFIA Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
  20. JamiiForums Tanzania Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…