Kuna nyakati huwa sielewi ni kwa nini Kuna mfanano wa karibu sana Kati ya ambayo hutokea kwenye siasa za Tanzania na Marekani.
Tarehe 18/05/2009 Jakaya Mrisho kikwete akiwa Rais wa Tanzania, alikuwa ndiye kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kukutana na Obama tangu alipochaguliwa mwaka 2008...
Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole.
Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania.
Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
LENANA Ole MBATIAN, Ni Laibon (Mungu) wa Kimasai aliyepata kuishi Kenya na alitawala kuanzia mwaka 1887 mpaka miaka ya mwanzoni mwa 1900 kwa eneo la Nairobi na Tanzania pia.
LENANA, Ni miongoni mwa Vijana HODARI na SHUJAA SANA wa kimasai ambaye kama ilivyo kawaida ya Wanaume wa Kimasai kuwa...
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa...
Wakuu,
Nimeona Kamati Kuu ya CCM imewakata hawa wabunge wawili ambao ni kutokea Arusha
Wabunge hao ni Emmanuel Ole Shangai kutokea Ngorongoro pamoja na Christopher Ole Sendeka kutokea Simanjiro
Ukiangalia hawa wabunge walikuwa very efficient kwenye ile issue ya Ngorongoro na namna ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.