Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001:30-80), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights,” wanafafanua haki saba za taasisi za kidini.
Kuna Haki ya Kutafuta na Kujua Ukweli, Uhuru wa Kutoa Maoni na Kujieleza, Haki ya Elimu na Fikra Tunduizi, Uhuru wa...