oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  2. JamiiForums Tanzania Miezi mitatu baada Oktoba 29, waliofiwa bado wasaka wapendwa wao

    Manenos Selanyika alipata mazishi ya mfano tu. Familia yake haikuwahi kuupata mwili wake baada ya machafuko makubwa ya uchaguzi wa Tanzania yaliyotokea miezi mitatu iliyopita. Mwandishi huyo wa habari mwenye umri wa miaka 40 aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama tarehe 30 Oktoba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Oktoba 29 hayawezi kusahulika kiurahisi, sawa na kusema tusahau biashara ya utumwa

    Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha. Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukimya wa Vyombo vya Habari Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nini chanzo?

    Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa kina, vijiridhishe kama waliokamatwa Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru kama alivyoahidi Rais

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
  7. JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Kusema vijana wote wa Oktoba 29, 2025 wameachiwa sio taarifa sahihi wengi bado wapo Magereza

    Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa ameikataa Bungeni taarifa iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum Sigrada Mligo, aliyesimama katikati ya mchango wake na kupinga kauli kuhusu kuachiliwa huru kwa wote waliokamatwa baada ya vurugu za Oktoba 29, 2026. Chiwelesa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania KERO Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki

    Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki “Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kinaonesha kuwa kimekusa utendaji wa Serikali za Mtaa kwa asilimia kubwa. Hapa kwetu Dodoma hali...
  9. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29, 2025 yalikuwa kilele cha Ukandamizaji wa Demokrasia, haikuwa bahati mbaya

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde. Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo, kuimarisha uwajibikaji, na kuruhusu wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila shinikizo la chama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kijana aliyelipwa kuandamana Oktoba 29. “Tumechoka na Uchaguzi wa maigizo”

    Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha. Alipozindua Bunge la...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je, serikali inajali vifo vya raia waliopoteza maisha Oktoba 2025?

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, wananchi wengi wanakiri juhudi zako katika kuongoza taifa letu na kuimarisha sekta mbalimbali. Hata hivyo, kuna masuala mazito yanayohitaji ufafanuzi na hatua thabiti. Tukio la maandamano ya tarehe 29 Oktoba mwaka jana lilisababisha vifo vya raia wasio na...
  12. JamiiForums Tanzania Butiku: Yaliyotokea Oktoba 29 yametuachia doa la aibu, majirani wanasikitika pamoja na sisi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema kuwa katika siku za hivi karibuni Tanzania imepitia kipindi kigumu kilichosababisha taifa kutetereka, lakini halikuanguka. Akizungumza leo Januari 22, 2026 wakati wa kufungua mkutano wa Taasisi ya Mwalimu...
  13. JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Hatma ya Watanzania na Mustakabali wa Tanganyika Yetu

    Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
  14. JamiiForums Tanzania Kumtambua Samia kwamba ni rais ni kuunga mkono mauaji ya halaiki Oktoba 29+

    Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali. Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala. Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia ikatuelewa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameeleza kuwa diplomasia ya Tanzania imepita katika mtihani mzito zaidi tangu uhuru kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, lakini sasa nchi imerejea katika mstari baada ya kueleweka kimataifa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  17. JamiiForums Tanzania Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, atuma ‘salamu’ kwa Rais

    Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atuma ‘salamu’ kwa Rais
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kuna watu wameuawa Oktoba 29 wamepigwa risasi ndugu wakaambiwa waseme wamekufa kwa homa ili wapewe maiti

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa Oktoba 29 kwenye vurugu wakaambiwa kusema wamekufa kwa homa ili wapewe maiti na hata vyeti vya vifo...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini ratiba ya kukusanya ushahidi wa Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 haijawekwa wazi?

    Kufuatia matukio mbalimbali yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi na kuibua hali ya sintofahamu kwa umma na jumuiya za kimataifa, Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan iliunda Tume kwa ajili ya kuchunguza masuala hayo, licha ya kuwepo kwa mijadala mseto kuhusu uhalali wa Tume hiyo pamoja na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya uchunguzi Matukio ya Oktoba 29 yatua Mkoa wa Mara

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…