📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha, pamoja na kuoza kwa maadili ya kijamii. Hata hivyo, kero hizi halisi zilitumiwa vibaya na wanasiasa na...
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
JAJI CHANDE
◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025
◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura
◾️waratibu wa ghasi walitumia malalamiko ya wananchi dhidi ya serikali wakati wanawashawishi
◾️wafanya gahasia walikuwa...
Jaji Chande amesema kuwa imebainika makundi yaliyoshawishiwa ndiyo wahusika zaidi katika ghasia wakati wahusika wakuu na waratibu wa ghasia hawakuwepo kwenye maeneo ya matukio hali iliyochangia kutokamatwa kwao, huku wengi na waliokamatwa wakiwa na wananchi wa kawaida wakiwemo wafuata mkumbo, au...
Wakuu,
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Kutoka uongozi wake kama Jaji
Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!..
🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025
🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande hatukuhitaji wazungu kuja kuchunguza mambo ya 29 Oktoba 2025
#UkweliOktoba29
Kesho Aprili 23 Inayojiita Tume ya uchunguzi wa Matukio ya uvunji wa amani na vurugu yalitokea Oktoba 29 inayoongozwa na Jaji Chande itatoa ripoti yake.
Watanzania wengi wameikataa tume hiyo tangu kuundwa kwake na Samia kwa sababu ipo kwenye lengo la kuitetea serikali na Vyombo vya ulinzi na...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi kuhusu nafasi ya Chadema katika maandamano yaliyoacha athari mbaya kwa jamii. Kinachonitatiza ni kauli zinazoeleza kuwa chama hicho au viongozi wake hawakuhusika kabisa. Naomba ufafanuzi wa kina zaidi kuhusu hili.
Ni kweli kwamba mara kadhaa tumeshuhudia...
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.
Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania...
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania.
Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
KATIBU wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo.
Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu...
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.
Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Dennis Muchunguzi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 13, 2026, amesema si sahihi kuanza kutoa hukumu au kuzusha taarifa zisizo na msingi kuhusu ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio Oktoba 29 wakati bado...
Wakuu,
Nilivoona hii habari nikakumbuka sauti ya Mange Kimambi 'issue iko deep' 😂 😂 😂 😂 😂
---------------
Wananchi wamempongeza Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuunda tume maalum ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyojitokeza kabla na baada ya Oktoba 29, 2025, wakieleza kuwa hatua...
Hili ndilo swali linalobeba kiini cha wasiwasi wa wengi kuhusu hatima ya mapendekezo ya Tume. Suala si kutolewa kwa ripoti pekee, bali ni nani atasimamia utekelezaji wake endapo mapendekezo yatagusa mamlaka ya waliounda chombo hicho.
Hapa ndipo mjadala wa uwajibikaji unakuwa mzito zaidi, ambapo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za CCM Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika na vurugu za Oktoba 29, 2025.
Aidha, alionya tabia...