Idara ya usalalama wa taifa makini ni ile ambayo inamuambia rais aliyepo madarakani ukweli.
Kama raia wanamchukia kwa ufisadi na mambo yasiyofaa anaambiwa ukweli.
Sio kumdanganya kuzunguka na mabasi ya Yutong zaidi ya 80 alafu wananchi wanamchukia huku anafanya kampeni.
Hata Mwalimu Nyerere...
Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnaishia kujiumauma guys, guys, guys. Mungu yupo
📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK
Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania.
#MO29 🇹🇿 #OktobaTunatoka #tanzania...
Heshima kwenu Waungwana
Naandika haya, ukiwa ni msimamo wangu binafsi.
Kwamba kesho nitatiki kwa Dr Samia Suluhu Hassani, Mbunge
wa Jimbo langu, na Diwani wa
Kata yangu.
Sababu ni hizi;
1. Maslahi kwa wafanyakazi.
Rais Samia ameboresha maslahi ya wafanyakazi kwa haki.
Tofauti na mtangulizi wake...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama tulivyowahakikishia Oktoba 26, 2025.
Aidha, lingependa kuwa tahadharisha kuwa, kuna kikundi cha watu...
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ali amemtaja Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mwenye ubunifu, uchapakazi na umahiri katika mipango ya kuwatumikia Watanzania.
Dkt. Bashiru amebainisha hayo leo Jumanne Oktoba 28...
Ndugu wanagenzi, ninalo neno juu yenu!
Kuwa makini sana licha ya kwamba umehakikishiwa usalama au utalindwa, usisahau kuwa hao watu wameshachanganyikiwa ukihisiwa tu unasombwa ndani na kutoka mpaka Yesu atakaporudi. Yawezekana ulikuwa una lengo zuri tu la kwenda kupiga kura ila kwasababu tu...
Wakuu!
Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania.
Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha kampeni zake kisiwani Pemba siku ya Jumapili kwa kutoa ahadi kumi za kipaumbele ambazo amesema atazitekeleza endapo atachaguliwa kuendelea kuongoza serikali ya awamu ijayo.
Akizungumza katika...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike.
Sigrada...
Ki msingi naona Kuna a well calculated plan.
Huwenda siku hiyo asiwepo kabisa hapa TANGANYIKA na kuwaacha watanganyika waone lipi Bora la kufanya huku akimwaga amri kutokea nchi nyingine.
Nauliza tu. Atakuwa chimbo lipi?
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi ,(DCP) David Misime ameeleza kuwa jukumu la kulinda amani ni la kila Mtanzania, kwani vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani vinafanywa na watu waliopo katika jamii
Misime amebainisha hayo katika Kongamano la Wanawake wa Dar es...
“Kila mtu akapige kura ili tumpate tunayemtaka; tusiwekewe tusiyemtaka.
Kwa sababu kuchagua kiongozi anayefaa huo ni mchango wa kusaidia kuleta wema na kufanya wema.
Akiwepo ambaye hapendwi katika viongozi, uovu utakuwepo.
Ili tusaidie uovu usiwepo, lazima sote tumchague yule tunayemtaka —...
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan imetajwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kudumisha amani, demokrasia na utawala bora nchini kwa kuimarisha na kukuza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na kuimarisha uhuru wa asasi za...
Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa Leo na Afande Ally wa kituo cha Ifunda Kibaoni Jimbo la Karinga pamoja na Afande Lazaro wa Central Iringa mjini.
Soma pia: Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.