Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa Dini na Wanananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 Mwanza katika ukumbi wa Nyakahoja leo Machi 26, 2026.
Viongozi wa dini wanaoshiriki mjadala wa leo ni;
Sheikh Hamisi Mataka - BAKWATA, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu
Bishop Nelson Kisare -...
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.
Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.
WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo...
Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki katika maandamano hayo.
Human Rights Watch imethibitisha vifo vya watu 31 ambao hawakushiriki...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
Kuna mambo yameanza kuleta taharuki!
=========
Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Arumeru mkoa Arusha baada ya vifo vya vijana zaidi ya watano kutokea katika mazingira ya utata huku ikidaiwa kuwa mtu mmoja mmiliki wa kituo cha mafuta alitoa siku chache kwa yeyote...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa.
==========
Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu...
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa?
Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku athari zake zikiweza kugusa diplomasia na taswira ya nchi kimataifa.
============
Geneva- Uswisi...
Naomba niongee, kistarabu kwa heshima ya mwezi mtukufu wa ramadhani, nimejikuta nikichukia baada ya kupita insta, ninekutana na huyu jamaa ambaye sijui anacheo gani hapo klabuni yanga labda kwa vile sio mfuatiliaji sana wa soka la bongo.
Huyu kijana kaonesha kusikitishwa na kile kilichotokea...
Wakili Maduhu William ameeleza kuwa kuna mashauri mawili yanayowahusu watuhumiwa watano, ambapo katika shauri la uchomaji wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kivule, watuhumiwa wamepatikana na kesi ya kujibu. Aidha, katika shauri jingine la wizi kwa kuvunja na kuiba, kesi imeshindwa kuendelea...
Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akitoa mwelekeo...
Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29, 2025 wakitumia kauli mbiu ya “Machozi ya Mama – Deni la Taifa”.
Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya...
HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA
WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA
Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa
UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA
Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza,
Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
Wakati kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ikiendelea, imeonekana upande wa Serikali umekosa ushahidi wenye mashiko wa kumbana mwanasiasa huyo, hivyo mawakili wa upande huo wakaleta notisi ya kutaka kuongeza ushahidi wa ziada.
Februari 23, Wakili wa Serikali Nassoro...
Wakuu,
Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU
Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia
Wanawake ni mama zetu, dada na mashangazi zetu. Hakuna mtu ambaye ana uchungu na maisha ya watu kama mwanamke...
Zikiwa zimepita siku 100 tangu kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza Tanzania katika muhula wake wa pili, tathmini zimekuwa nyingi na zenye sura tofauti. Wapo wanaotazama kisiasa, wengine kiuchumi, kijamii, kiusalama na hata kidiplomasia. Kila kundi lina taswira yake.
Hata hivyo...
Mzee Wasira akihojiwa na Mwananchi amedai kuwa yale matukio yaliyotokea Oktoba 29 huwezi kuyaita maandamano bali uhalifu kwani wananchi waliharibu mali, kuiba pesa kwenye ATM.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja.
Hoja ya awali hii hapa ~ Msajili amtaka Profesa Lipumba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.