oktoba 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  3. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira Tugomee Kuhudhuria Mechi za Simba na Yanga kwa Kushindwa Kutoa Pole kwa Wafiwa Kutokana na Maandamano ya Oktoba 2025 ya Kudai Haki

    Katika tukio ambalo limegusa mioyo ya wengi, mashabiki wa soka nchini Tanzania tujipamge kuonyesha mshikamano na majonzi kwa wale waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki yaliyofanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 ambapo familia nyingi zimepoteza wapendwa wao katika mfululizo wa...
  4. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machafuko 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi, Wahusika wawajibike!

    Machafuko ya siku ya Uchaguzi lazima yapatiwe tiba ya kudumu. Yeyote aliyehusika na machafuko haya kwa namna yoyote lazima awajibike, iwe kwa kuchochea mitandaoni au kwa kutenda moja kwa moja, basi hatua kali zichukuliwe. Tunayo nchi moja tu na uhai ni mmoja tu. Haki ya kila mmoja ipatikane...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

    Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja. Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu? 

 Mstari gani wa wimbo unakugusa na unaona kama unaongelea yanayoendelea maishani mwako? Kama ungeweza kumuuliza...
Back
Top Bottom