ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kwanini Mawaziri wengi awamu ya Tano na sita wanapoingia ofisini uanza kuwachongea wakuu wa taasisi waliowakuta waondolewe?

    Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake, kilimo Kila sehemu anataka yeye atawale nk Je, wanapata wapi nguvu yakufika ofisini na kuanza...
  2. J

    Rais Samia awataka RC Hapi na Wakuu wa Wilaya zote Mara wajitathmini kwa Uongozi wao mbovu

    Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wote wajitathimini kabla ripoti haijatoka. Kwa upande wa Wakuu wa idara, Rais Samia amesema...
  3. IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  4. B

    Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

    Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini. Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
  5. Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  6. Waziri Mkuu wa Ethiopia arudi ofisini baada ya kukomboa miji 6

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
  7. Rushwa ya Ngono sehemu za kazi

    Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11 ya Mwaka 2007; Rushwa ya Ngono ni kitendo anachofanya Mtu mwenye Mamlaka, katika kutekeleza Mamlaka yake kudai Ngono au upendeleo wa aina yoyote kutoka kwa Mtu kama kishawishi cha kumpatia Ajira, Cheo, Haki, Fursa au...
  8. J

    Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao. Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote. Chanzo: ITV...
  9. Misri: Marufuku kwa Wafanyakazi kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa yaanza kutekelezwa

    Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14...
  10. F

    Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

    Nachokoza mada. Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza...
  11. Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

    IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno. Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama. Siro ni doa ndani ya serikali.
  12. Nigeria: Watumishi wa Umma wasiopata Chanjo kutoruhusiwa Ofisini kuanzia Desemba

    Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya Raia wake wapatao Milioni 200, ikielezwa Chanjo zinazoendelea kupokelewa zinatarajiwa kuongeza kasi ya...
  13. Ahmad Rashad Ally ofisini kwa Jomo Kenyatta, Nairobi, 1963

    AHMAD RASHAD ALLY OFISINI KWA JOMO KENYATTA NAIROBI 1963 Nimeeleza kuwa Ahmad Rashad alikuwapo siku Abdul Sykes alipokutana na Jomo Kenyatta Nairobi 1950. Mzee Ahmad Rashad ana historia ndefu na ya kusisimua lakini hii tungoje siku nyingine In Shaa Allah. Ahmad Rashad alikimbia Zanzibar baada...
  14. TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

    Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini? Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma. Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
  15. CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

    CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI Songea, Ruvuma 19 Septemba, 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta...
  16. Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

    Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!! Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
  17. Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  18. Siku ya pili ofisini Rais wa Zambia aunda team ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa kodi

    Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
  19. Mwanamke mnayefanya kazi ofisi moja anakutangazia mabaya kwa wenzake usipomtongoza

    Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single . Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi...
  20. B

    Matunguli au uchawi uliocha ofisini na mtangulizi wako unautoaje kuitakasa ofisi?

    Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…