Nyundo is a community in the Rubavu District of Western Province, Rwanda, on the Sebeya River to the east of Gisenyi. It is the location of one of the first Catholic missions to be established in Rwanda, and today is the headquarters of the Roman Catholic Diocese of Nyundo.
Credit jambo tv
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi.
Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya...
Ndivyo ulivyo utawala wa sasa. Kila mzalendo. Kila mtu asiye chawa wao. Kila mwenye fikra huru na mitazamo tofauti. Kila asiye mwanaCCM. Kila Mtanganyika. Kila mwenye uthubutu wa kuhoji....Kwao ni msumari tu; na anastahili nyundo kichwani.
Mpaka lini?
GT
Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti.
Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa...
Baada ya siku mbili za mazungumzo jijini Stockholm, pande zote zilionyesha nia ya kusuluhisha tofauti zao lakini msimamo wa Washington wa kuitaka China kusitisha biashara hiyo ya nishati bado ni kikwazo kikuu.
Msimamo wa China wa kukataa shinikizo hilo unaangazia jinsi Beijing inavyolipa...
Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeendelea kusikiliza hoja za rufaa kupinga kifungo cha maisha jela walichohukumiwa Clinton Damas, maarufu Nyundo na wenzake, huku upande wa Jamhuri ukiomba kuzijibu Juni 12, 2025.
Warufani wanaiomba Mahakama kufuta kesi, hati ya mashitaka na hukumu...
Wakili Meshack Ngamando, anayewatetea warufani wanne waliohukumiwa kifungo cha maisha jela, amefafanua kuwa rufaa yao inayoendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma haitajumuisha ushahidi mpya. Badala yake, Ngamando amesema wao kama mawakili watetezi watajikita katika kueleza mapungufu...
Mawakili wa serikali na wale wa upande wa utetezi wakijiandaa kwa ajili ya kusikiliza kesi ya rufaa ya Nyundo na wenzake ambao wanapinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani walichohukumiwa Septemba 30, 2024 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile...
Kesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na wenzie walihumumiwa kifungo cha maisha jera washitakiwa hao ni Clinton Damas (Nyundo), Praygod Mushi...
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana.
Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi!
Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
Hello Great thinker wa JF,
Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?
Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?
Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Madeleka ametaka mshtakiwa akamatwe mara moja kwa kukaidi kufika mahakamani.
Kesi hiyo, ambayo...
Wakili Edwin Mugambila, Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa Kitaifa wa Kupinga Usafirishaji Haramu wa Binadamu, amesema:
"Kwanini huyu Afande anayehusika kwanini hajashtakiwa? Tumefanya vikao sana na mwendesha mashtaka Dodoma yaani mpaka kesi inakamilika sisi tulipiga kambi Dodoma Mimi na mwenzangu wa...
Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo, amesema wao kama Mawakili siku zote huwa wanaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hawajaridhika na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamua kuwa washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya ubakaji wa kundi na ulawiti dhidi ya Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, wana kesi ya kujibu. Uamuzi huo ulitolewa Jumatatu, Septemba 23, 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Zabibu Mpangule...
Koma sava wanajukwa, siku ya alhamisi wakati watuhumiwa wa kesi ya binti wa yombo wakitoka mahakamani vyombo mbalimbali vya habari vilionyesha namna watuhimiwa wanavyorudishwa mahabusu.
Mtuhumiwa maarufu kwenye shauri hilio "nyundo" pamoja na kuwa na pingu mkono wake wa kulia Ambayo alifungwa na...
Jamii yetu ina changamoto nyingi sana ambazo tunaweza kuzifanyia kazi na kuzipatia ufumbuzi kwa kutumia technology. Tumeshatoka kwenye zama za kutumia nyundo (figuratively) katika kila kitu.
Tukianza kuorodhesha changamoto ambazo jamii yetu inazo, nafikiri zitakuwa ni nyingi sana na wala siku...
Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani.
China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.