nyumba za kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Tabia ya ushikwambi inawafanya watu kutokuachana na nyumba za kupanga

    Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga. Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko. Kuna watu walishazoea yale maisha ya...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

    Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
  4. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Nyumba za kupanga zinavyoharibu akili

Back
Top Bottom