nyumba za kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wapangaji wenzangu, mnakabiliana vipi na jirani asiyetaka kulipia bili ya maji na umeme?

    Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote? Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
  2. McLaren

    Kwa mnaofahamu, hivi changamoto za kupanga nyumba kama hizi ni zipi?

    Wakuu, Naombeni kujuzwa changamoto za nyumba kama hizi. Chache nnazozijua: Ukiibiwa hamna shahidi ila ukivusha manzi ndo utajua kama unaishi na milard ayo Kila mtu ni DJ na usimwambie apunguze sauti sababu hujamnunulia sabufaa na humlipii umeme wala chochote Mnaishi kama bwenini hamna cha...
  3. Scared

    Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

    Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie jamaa hivi huwa munafikiri Kwa akili hizi ambazo watu kama Mimi mwenye IQ kubwa nafikiria kuhusu...
  4. Mwangajamii Tanzania

    Acha kuteseka na umeme kwenye nyumba za kupanga

    Submita kata umeme inakuwezesha Kutumia umeme wako mwenyewe, Acha kuokota fundi mtaani. Ukihitaji Submita nitakuuzia na kukufungia. Pia nitakupa Elimu namna yakuitumia Submita hiyo. Wengi wamekuwa wakipata changamoto namna ya kuitumia na wakati mwingine kutaka hata kuzifungua...
  5. Mustapha maDish

    Ili kuepuka uharibifu wa nyumba/jengo na kupunguza gharama kwa wapangaji

    Hii inawahusu wenye nyumba za kupangisha ama majengo ya biashara ( kupangisha kama Office n.k ) Kwenye swala la Visimbuzi, achana na kufunga dish nyingi kwenye nyumba/jengo moja, ambapo kunakuwa na uharibifu mkubwa wa jengo kutokana na kila fundi ana ufundi wake! badala yake ifungwe dish moja...
  6. dalaliami

    Nyumba za kupanga mbezibeach

    Nyumba Vyumba 3 ( Masta Ipo), Sebule, Dinning, Jiko, Choo cha kuchangia ndani. Ina fensi, egesho la gari, Maji Mita yake, Luku yake, umbali wa dakika 3 kutembea kutoka kituo cha daladala! Maelezo zaidi— 0687614981
  7. Hharyson

    UMECHOKA KUKAA NYUMBA ZA KUPANGA NA UNA PLOT NDOGO ANZA NA HII NYUMBA UTANISHUKURU 3BEDROOMS NDOGO SEBULE JIKO 2BATHROON HAINA DINING 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONS SERVICES KAZI YETU NI MOJA TU KILA MTANZANIA ANAANZA KUISHI KWAKE CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  8. R

    Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  9. Half american

    Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

    Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo. Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
  10. T

    Changamoto kutoka kwa baba Mwenye Nyumba imetatulika

    Nianze na Salamu kwanza ndugu wa zangu wa JF, wakubwa shikamoo na wadogo kwangu habari zenu na rika langu je mambo vipi!? Baada ya Salamu naomba niseme kwa yoyote mwenye changamoto yoyote MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA WAdau baada ya kuandika Uzi wa baba mwenye Nyumba ananidai Kodi yake basi...
  11. Magical power

    Uchawi katika nyumba za kupanga

    UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama...
  12. Fbn

    Wenye nyumba za kupanga tunaoishi pamoja nanyi kwa nini mnataka watoto zenu ndio tuwe na mahusiano hususani maeneo ya vipato vya chini

    Zile nyumba ambazo unakuta unaishi na mwenye nyumba pamoja na watoto wake ambao wamekuwa mpaka kunaitajika kubandika bango la kuuza ice cream. Na kama mwanaume ukiwa vizuri yani utaona mwenye nyumba mada zake sana mkiwa naye mfano. “Mtaa mzima ujaona tu hapa”. “We usipate tabu yupo wa...
  13. Fbn

    Kuna tabia nyumba za kupanga wapangaji wa kike kukaa karibu na njia ya kwenda chooni

    Nyumba nyingi za uswahilini ujenzi wake mkubwa vyoo huwa uwani(nyuma ya nyumba).Lakini wapangaji wengi ugeuza sehemu kubwa ya kupumzikia. Kama wapangaji wengine ushindwa kujiachia chooni kupiga matalumbeta na kufanya wengi tuwe na bawasiri tusizo zitegemea sababu ya kujibana tusitoe milio ya...
  14. Masoud06

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  15. Fbn

    Madalali ndio chanzo cha mifumuko ya bei kila sekta hususani nyumba za kupanga

    Katika watu nawachukia ni madalali hata ukiwa na mali yako wanataka kupandisha kiasi kikubwa kupelekea hata kukosa wateja kwa wakati. Tuje kwenye suala la nyumba za kupangisha: Madalali wengi ni watu wa ajabu yani sehemu inaweza kuwa biashara hakuna ilo eneo, we ukaamua kufanya biashara na watu...
  16. Paul dybala

    Nyumba ninayoishi inasemwa kuwa ina mauzauza sana lakini sijawahi kuyaona

    Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana. Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji nikimuelekeza ninaishi nyumba flani hunishangaa sana,...kiasi mimi nina miaka mitatu lakini sijawahi kuona...
  17. Mbwa dume

    Jamaa kaingizwa chaka na dalali kwenye nyumba ya kupanga

    Kuna bwana mdogo mtoto wa jirani yangu tulikuwa naye hapa Dom alimaliza chuo akakosa ajira ikabidi aje tupige naye mishe za kuuza majeneza angalau apate japo pesa ya kula na tumekuwa naye hapa for almost one year Sasa week iliyopita amebahatika kupata ajira kwenye taasisi moja binafsi Dar...
  18. DalaliBinamu

    House4Rent Nyumba inapangishwa Dar es Salaam

    INAPANGISHWA NYUMBA VYUMBA 2 SEBULE JIKO NA CHOO NDANI. MAHALI kawe KODI TSHS 200,000 CALL - 0716442950
  19. Desierto

    Uliwezaje kukaa kwenye geto mkiwa zaidi ya mmoja. Vipi kuhusu mademu.

    Mimi ninachokumbuka ni mshikaji kuleta demu na demu kulala wote usingizi haukuja huku mm nikiwa bado sijawahi fanya hayo mambo.
  20. sam green

    Mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kunijali sana kama mimi ndio mume wake vile

    𝘏𝘢𝘣𝘢𝘳𝘪 𝘻𝘦𝘯𝘶, 𝘸𝘢𝘱𝘦𝘯𝘥𝘸𝘢, 𝘔𝘪𝘮𝘪 𝘯𝘪 𝘬𝘪𝘫𝘢𝘯𝘢 𝘢𝘨𝘦 26. 𝘕𝘪𝘮𝘦𝘱𝘢𝘯𝘨𝘢 𝘴𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘧𝘭𝘢𝘯 𝘵𝘶𝘱𝘰 𝘸𝘢𝘱𝘢𝘯𝘨𝘢𝘫𝘪 𝘬𝘢𝘥𝘩𝘢𝘢, 𝘸𝘰𝘵𝘦 𝘩𝘢𝘸𝘢𝘫𝘢𝘰𝘭𝘦𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘩𝘢𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘢𝘭𝘪𝘺𝘦𝘰𝘸𝘢 𝘛𝘶𝘱𝘰 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘶𝘮𝘦 𝘸𝘢𝘸𝘪𝘭𝘪 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘸𝘢𝘬𝘦 𝘸𝘢 3 𝘪𝘭𝘢 𝘸𝘰𝘵𝘦 𝘮𝘢 𝘴𝘪𝘯𝘨𝘭𝘦 𝘮𝘰𝘵𝘩𝘦𝘳, 𝘩𝘢𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘢𝘭𝘪𝘺𝘦 𝘰𝘭𝘦𝘸𝘢, 𝘚𝘢𝘸𝘢𝘭𝘢 𝘭𝘪𝘯𝘢𝘬𝘶𝘫𝘢 𝘩𝘪𝘷𝘪 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘮𝘱𝘢𝘯𝘨𝘢𝘫 𝘮𝘮𝘰𝘫𝘢 𝘢𝘨𝘦 𝘬𝘢𝘮𝘢𝘢 22 𝘢𝘶 23 𝘩𝘷, 𝘫𝘢𝘱𝘰 𝘸𝘰𝘵𝘦 𝘯𝘪 𝘬𝘢𝘮𝘢...
Back
Top Bottom