nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Iran kuanza kutumia Nyuklia na Mabomu ya Masafa Marefu kupiga New York

    Kutokana na hali inayoendelea ya hawa Makafir kujipigia kila sehemu watakayo ndani ya Iran na ndege zao kuranda randa nchini. Je mheshimiwa Spika. Huu si wakati mzuri sasa wa kuanza kutumia mabomu ya Nyuklia ambayo tumekuwa nayo mengi sana yanayoweza teketeza dunia nzima na akhera? Lakini je...
  2. ERTUGRUL BEY

    Undumilakuliwi kuhusiana na Mtazamo juu ya Iran na Israel kuhusiana na Nyuklia

    My people, Kwanza nianze kwa kusema Mimi ni shabiki namba moja hapa Afrika Mashariki wa Islamic Republic of Iran,na nina sababu za kufanya hivyo. Ni Taifa ambalo limekuwa likiangaliwa katika mlengo hasi siku zote,shutuma za kuhatarisha amani Mashariki ya kati wao,shutuma kwamba ni wafadhili wa...
  3. matunduizi

    Kwa Uranium inayopatikana Tanzania: Nashauri tuanzishe mradi wa Magari yanayotumia NYUKLIA

    Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power. Sisi tunajivunia rasilimali hii adhimu ya Uranium. Na shauri sasa ni wakati wanasayansi wetu wa COET, DIT...
  4. 2019

    Pakistan, India wana silaha za nyuklia kwanini Iran ikatazwe?

    Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine? Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
  5. S

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  6. Yoyo Zhou

    Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  7. Keynez

    Embu waza viongozi ambao Africa tunapata wangekuwa na silaha za nyuklia, ingekuwaje?

    Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
  8. Webabu

    Watu wa Gaza wasema hawawezi kuhama na hawana pa kwenda palipo salama.Wanasubiri wapigwe nyuklia na Israel

    Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote. Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale. Mmoja wao...
  9. Desierto

    Si walisema wameangamiza kabisa vinu vya nyuklia vya IRAN? vipi tena Mwaisa

    Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran: Kuanza tena mazungumzo na Marekani...
  10. Jackal

    Ukraine Yadai Kuiba Taarifa za Siri(Classified Information) Za Manuari Mpya Kabisa Za Kurusha Makombora Ya Nyuklia Za Urusi

    Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa...
  11. M

    Ni kichaa tu anayeweza kutekeleza tishio la kutumia nyuklia: Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP

    Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!! Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
  12. The Zanzibar Echo

    Trump aamuru manowari za nyuklia kuwekwa tayari baada ya maoni ya rais wa zamani wa Urusi.

    Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
  13. Yoda

    Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

    Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
  14. The Zanzibar Echo

    Trump: 'Tutashambulia ikiwa kuna shughuli za nyuklia'; Araqchi: 'Tutatoa jibu ambalo hutaweza kujificha

    Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa." Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Mashambulizi haramu ya hivi majuzi ya vituo vya nyuklia vya...
  15. The Zanzibar Echo

    Timu ya IAEA itazuru Iran lakini haitafika katika vituo vya nyuklia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran. Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
  16. MK254

    Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  17. Webabu

    Iran ilikuwa inafanya nini hasa kwenye vinu vyake vya nyuklia. Mbona imechukua muda mrefu sana

    Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu. Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya kimya na bila kutangazwa Kwa upande wa Iran imechukua miaka mingi mpaka udoro huo umewatilia fitna...
  18. I

    Trump amsuta Khamenei, asema ataishambulia tena Iran ikiwa shughuli za nyuklia zitaanza tena

    Rais Donald Trump amekashifu madai ya Ayatollah Ali Khamenei kwamba Iran ilishinda vita vyake vya hivi majuzi vya siku 12 na Israel na kusema Marekani "itaipiga kwa mabomu tena nchi hiyo ikiwa itatafuta silaha za nyuklia. Rais wa Marekani alizindua mkondo wa matusi kwa kiongozi mkuu wa Iran...
  19. The Zanzibar Echo

    Iran: Haina nia ya kujadili mpango wake wa nyuklia

    Iran imekanusha kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia, baada ya kumalizika vita vya siku 12 kati yake na Israel na kuishutumu Marekani kuchochoea vita hivyo kwa kuishambulia. Mzozo ulioibuka kati ya Israel na Iran, ulivuruga ratiba ya mazungumzo hayo kati ya...
  20. jamaikatz

    Iran yakili baadhi ya maeneo yake ya nyuklia kuharibiwa vibaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekiri kwamba uharibifu mkubwa na mkubwa ulifanyika katika maeneo ya nyuklia ya nchi hiyo katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel. Abbas Araghchi aliambia shirika la utangazaji la serikali Alhamisi kwamba tathmini ya uharibifu huo inafanywa na...
Back
Top Bottom