nyuki

Nyuki (Russian: Нюки) is a rural locality (a selo) in Kabansky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 249 as of 2010. There are 4 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Nyuki kama hawa wanakuwa wametumwa au ni nini?

    Sio kawaida kwa lundo la nyuki kutua kwenye biashara ya mtu kama hivi au ndo wakutumwa ili tutishane wazee
  2. A

    LIKIZO TIME TUITION & PRE FORM ONE (0782044028)- TEGETA NYUKI.

    Tunafundisha masomo yote, kwa O LEVEL & A LEVEL. Concepts & Solving KARIBU
  3. ACT -Wazalendo kwa Mpina walikumbatia mzinga wa nyuki wakidhani ni gogo la mbao ngumu.

    Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Lowassa, Sumaye, Lamwai, Mpina, Membe). Iko hiviii!! Kule CCM huwezi...
  4. wizi wa baiskel yangu nimeambiwa nikitoa taarifa polisi nitatimua nyuki

    kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa. Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila...
  5. E

    Kuna yeyote anae mfahamu anaweza jaza Nyuki vituo vyote vya Uchaguzi October,2025 .

    Naona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana . Tusaidiane kwa hili
  6. Nauza asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana JF Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara . ☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️ Matajiri 250,000/= kwa lita 20
  7. A

    Masomo ya marudio (Tuition) - Tegeta Nyuki

    JE, UNA NDOTO YA KUWA ENGINEER, AU DOCTOR? Timiza ndoto zako sasa. Karibu (MAPAMBANIO CENTRE- TEGETA NYUKI) ... uwe Master kwenye PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY na MATHEMATICS (O LEVEL & A LEVEL). Tunafanya Exams na Problems Solving kwa ajili ya kuwaandaa wanafunzi kujibu mitihani (MOCK &...
  8. Naenda Mlimani City kuchukua " Royal Jelly" ( Maziwa ya nyuki) na Uyoga Mwekundu...

    Maisha ya mwanadamu ni mazuri sana but only if you believe on " Likud's philosophy of life". If you actually want to be happy in this world, then your life should move in the direction of Likud's philosophy of life. Maisha nini? According to me " Maisha ni mazuri sana ". Tumeumbwa duniani...
  9. Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  10. A

    Likizo Time Tution.. mapambanio centre- Tegeta Nyuki (0625012562)

    A Level na O Level, masomo yote. Kutana na walimu wabobevu kwa kila somo. Pia tunafundisha mbinu za kufanya solving ya maswali kwa kila topic,, pamoja solving ya past papers... Hostel pia zipo. Tupo Tegeta- Nyuki KARIBU.
  11. A

    Likizo time tution. Mapambanio centre- Tegeta Nyuki

    Likizo time tution. Mapambanio centre- tegeta nyuki. A level na o level masomo yote.. Walimu wabobevu kwenye kila somo. Solving ya maswali kwa kila topic na maswali ya necta inafanyika kwa kina. Karibu (0625012562) Whatsap; 0782044028
  12. L

    Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
  13. A

    Likizo time tuition. Mapambanio centre- Tegeta nyuki. Hostel pia zipo

    A LEVEL NA O LEVEL MASOMO YOTE. WALIMU WALIOBOBEA KWENYE UFUNDISHAJI. SOLVING YA MASWALI MBALIMBALI NA MASWALI YA NECTA INAFANYIKA KWA KINA KABISA.. MWANAFUNZI AKITOKA HAPA ANAKUA TAYARI KUFANYA VIZURI KWENYE MTIHANI WA MWISHO. KARIBU (0625012562)
  14. K

    NYUKI WANAKUMBATIWA HIVI

    NYUKI SIO NYUKI? https://web.facebook.com/share/r/15K4tQV4Ka/
  15. Tafiti Zinaonesha,Nzi Watakuwa Wanatengeneza Asali Kama Nyuki Ifikapo Mwaka 2400

    Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki. Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia...
  16. Tunatengeneza mizinga ya nyuki ya kisasa

    Habari wadau wa JF. Sina maneno mengi isipokuwa napenda kuchukua fursa hii ya JF kutangaza kwenu wadau wa nyuki na wakulima kwamba Shirika letu la "Tanzania Beekeeping and Environmental Services (TANBEES)" tunatengeneza mizinga ya kisasa kabisa ya nyuki (Langstroth) na mingineyo kadri ya uhitaji...
  17. Kwanini nyuki wanaogopa konokono na kisamvu?

    Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
  18. Kwanini watu wengine wakiumwa na nyuki au nyigu hawavimbi?

    Wengine wakiumwa na wadudu hao mwili unaumuka sana haijalishi ni sehemu gani ya mwili Wengine wanaumuka ikiwa sehemu iliyoshambuliwa ni usoni pekee Wengine wanaumuka ikiwa wadudu waliomshambulia na kumdunga ni wengi Wengine wanavimba kiasi tu unakuta kidutu kidogo kama kipele Wengine...
  19. Maajabu ya nyuki usiyoyajua

    Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha 🍯 asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24? 📒 Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki? 📒 Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai? 📒 Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri? 📒 Je...
  20. B

    Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

    👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas 👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu 👉Uzi tiyari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…