Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,530 Reaction score 42,840 Mar 5, 2025 #1 Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
Dr. Mariposa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,727 Reaction score 18,984 Mar 5, 2025 #2 Mmmh! kuna nyuki hapa nitawauliza
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 17,740 Reaction score 57,158 Mar 5, 2025 #3 Superbug said: Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa? Click to expand... Research yako umeifanyia wapi?
Superbug said: Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa? Click to expand... Research yako umeifanyia wapi?