Nyoka ni aina ya viumbe watambaao wasioeleweka zaidi duniani, lakini wana jukumu muhimu katika kudumisha usawa wa ikolojia.
Kiuhalisia kuna zaidi ya aina 3,000 za nyoka duniani kote, na wengi wao hawana sumu!
Wanasaidia kudhibiti idadi ya panya na ni muhimu kwa mnyororo wa chakula. (Food...