nyerere

  1. Bibi Titi Mohamed Festival Ikwiriri: Bibi Titi Kahutubia Mikutano Miwili Hamjui Nyerere

    https://youtu.be/Xk_wM5zg6lc?si=fcr5XUGkUP2Xy7Hr
  2. Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  3. S

    Kwenye press ya Lisu nimejiridhisha kuwa waandishi wengi ni weupe kichwani, waliposhangilia nukuu ya Nyerere.

    Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali?? Hii...
  4. S

    Nyerere alipokuwa anatarajiwa kutoa hotuba, nchi nzima ilikuwa inasubiri kwa hamu. Baada ya Nyerere, leo hii ni Tundu Lissu tu

    Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki: Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku akiwa na shauku ya kutaka kusikia atachosema. Mbali na wanachi, hata vyombo vya habari vya ndani na vya...
  5. S

    Haikutokea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete, bali enzi za Magufuli na Samia, wananchi kushangilia vifo na kujeruhiwa viongozi na waandamizi

    Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
  6. 4

    Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

    Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
  7. S

    Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  8. Nyerere na Wanafunzi wa Chuo Kikuu waliopinga kwenda JKT.

    Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
  9. Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, anasema Jaji Warioba alipewa uwaziri mkuu kwasababu alikuwa chawa wa Nyerere hivyo asikosoe uchaguzi

    Wanajamvi salaam Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
  10. N

    Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  11. TANAPA yapokea mitambo na malori kuboresha miundombinu ya hifadhi za taifa Serengeti na Nyerere zenye thamani ya bil.6.4

    Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za Kitanzania, tukio hilo limefanyika leo Disemba 2, 2024 katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu...
  12. CCM bwawa la Umeme Nyerere linazalisha Megawati ngapi mpaka Sasa.

    Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata. Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi ya umeme uliokusudiwa kuzalishwa na bwawa hilo? Maana kata kata ya umeme imekuwa kama ni jambo la...
  13. Historia ya Iddi Faiz Mafungo na Safari ya Nyerere UNO 1955

    https://youtu.be/dQtHPdH0THc?si=lJs-N8xVYcXAqRjc
  14. A

    DOKEZO Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya Momba achunguzwe tabia zake kwasababu anaumiza Walimu kwa ukatili wake

    Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila kufuata utaratibu na malipo ya uhamisho imekuwa ni shida sana kulipwa. 2. Ari ya walimu kufanya kazi...
  15. Kwa Maneno haya ya Mwalimu Nyerere kwa Ghadaffi alikuwa anamaanisha nini? Maana Nyerere alikuwa "Jiniaz"

    Nukuu kutoka kwa mmoja ya mashujaa wetu Echolima
  16. Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  17. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kujiuzulu, kitengo cha majanga kimemshinda

    Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha...
  18. TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  19. Mliosomea Cuba Hii sanamu ya Mwl. Nyerere iliyozinduliwa huko Cuba inafanana na Mwalimu kweli?

    Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Anayansi Camejo na baadhi ya viongozi wengine kutoka mataifa yote...
  20. Je baada ya Nyerere ni Lissu?

    Ukija kwa sasa nje ya Nyerere ambaye aliweza kukiri makosa yake kadhaa na kukosoa chama chake! Naona mwingine anayeweza kuthubutu ni Tundu A Lissu, CHADEMA ni chama tegemeo la Ukombozi kwa Watanzania hasa wapenda mabadiliko, Walianza kumbwera au kupoteza ushawishi kwa watu wenye misimamo mikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…