nyerere

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kama kuwa kiongozi Bora ni kutengeneza viongozi Bora wengine je, Nyerere hakuwa kiongozi Bora?

    Kwa munaofahamu Tanzania Ni, Nini Hasa tangu 1985 Au tangu Uhuru Munakaribishwa Kujibu You can mention at least one leader of Nyerere caribre if he was a good leader or we are just passing through a historical propaganda about him
  2. JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna watu bado wana muabudu Mungu Nyerere Tanzania ?

    Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ? Inawezekana hii ?
  4. JamiiForums Tanzania TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

    Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  6. JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  7. JamiiForums Tanzania Tulimpinga Nyerere bila hofu ya kutekwa~ Lumuli Alipipi Kasyupa

    Mmoja wa waasisi wa kundi mashuhuri la Wabunge 55 (G55) na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kyela, Lumuli Alipipi Kasyupa, amefunguka kuhusu ujasiri waliokuwa nao wa kumpinga Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, huku akibainisha kuwa tofauti na zama za sasa, mazingira ya kisiasa ya kipindi hicho...
  8. JamiiForums Tanzania Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa Mwl Nyerere

    Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa ya Baba yenu,Mtakatifu wenu,Mwenyeheri Nyerere. Daima Wazanzibar wapo sahihi kujivunia Uzanzibari wao hata pale unapotaka kujaribiwa kuzikwa kwa tamaa za siasa za kimabavu. Wazanzibar wanayo haki...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kipi bora ambacho Nyerere hakuna wa kumlinganisha nae hadi sasa?

    Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa Moyo wote. KARIBUNI
  10. JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alipambana kumkomboa mtu mweusi zaidi ya Nyerere?

    Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere? Hospitali ya Nyerere Angola.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana dharau sana kwa watu

    Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali. Tulienda kufuata vyeti vyetu lakini alikuwa busy na kuchezea simu tukijaribu kumuuliza anakuwa mkali na hii si...
  13. JamiiForums Tanzania Nyerere kakaa Ikulu miaka 23 haya mambo hayakuwepo

    Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine. Zama hizi imekuwaje kwani?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Trump is striking Iran with no tangible output, but Nyerere struck Idd Amin with tangible results!

    Ubabe wote wa Marekani, to me, seems nothing! Nilitegemea mpaka sasa Iran angelikuwa " non existent" with regard to military survival, ndiyo kwanza anaamsha masharubu kuliko huko nyuma. Nyerere alikuwa na "maono" makubwa kuliko Trump with all mighty capabilities of military arsenals, power...
  15. JamiiForums Tanzania Nyerere alishauriana na nani kuunganisha Tanganyika na Zanzibar?

    Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi. Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili . Yani kama ilivyo utaratibu wa kupiga kura za rais ilibidi iwe...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka kutoka familia ya Nyerere

    Unajua saying,Did he jump or was he pushed? Nataka kutoka familia ya Nyerere. How do I do it legally?
  17. T

    JamiiForums Tanzania CCM chini ya Samia ni maadui wa Nyerere nadhani wanatamani kumfuta uanachama. Hizi ni baadhi ya nukuu zisizofanana kabisa

    Nukuu hizi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni shahidi wa wazi wa jinsi genge la watawala lilivyogeuka na kuasi misingi na maono ya mwanzilishi wa taifa letu. Kwa kulegeza ulinzi wa Katiba na kupanda mbegu za nidhamu ya woga, kikundi hiki kimejenga ubaguzi mkubwa wa kitabaka—kikitengeneza...
  18. JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere na Mama Mariam Obote.

    Pichani ni Mama Miriam Obote (90), mke wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda, Hayati Apollo Milton Obote na Mama Maria Nyerere (95), mke wa Rais wa Tanganyika, Mwalimu Nyerere. Aliyekosekana hayo ni Mama Ngina (93), mke wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta. Mama Ngina anaelezwa kuwa yuko...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kwanini rais Samia hataki kuzifuata nyayo za Ml. Nyerere na rais Mwinyi atufafanulie.

    Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…