nyanya

On 1 May 2014, a car bomb exploded in New Nyanya, a town in Nasarawa State, Nigeria. The explosion killed at least 19 people and injured at least 60.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nikiokota Diary Yako itaninufaisha au nitaishia kupata karatasi za kufungia nyanya?

    Salaam Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Namna mwanamke anavyonunuliwa kupitia 'mahari'

    Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari". Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi; Bidhaa Mwanamke [ Nyanya ] Wauzaji Wazazi upande wa mwanamke Wanunuzi Wazazi upande wa mwanamme. Dalali Mshenga Mazungumzo ya biashara: Mzazi upande wa mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri na tamu

    Karibuni nyanya, fresh from shamba Crate 45,000/- Ndoo ndogo 10,000/- Ndoo kubwa 17,000/- Tupo Dsm, Mbezi ya kimara Karibuni saaana. Msimu huu wa sikukuu. Kwa bei Che. 0752850081 0783985530 0719100591
  4. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

    "Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa zao langu la nyanya

    Wataalamu wa kilimo mnishauri,Nimelima nyanya Miche 5000 .Ina mwezi mmoja Toka nimeipanda mbegu nimetumia. Tomato mwanga. Kuna changamoto imejitokeza majani kubadilika rangi .ngoja niambatanishe picha ,hali hii ilijitokeza baada ya kupilizia sumu aina ya power Cron, snow tiger ujazo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Unaujua ugonjwa wa Mafua ya Nyanya ulioanza kuivuruga tena dunia?

    Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya. Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya maji

    Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo. Karibuni sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva?

    Kwema wakuu Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
  9. JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya Tanzania sasa ni mtihani

    Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja. Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Wakulima wa nyanya mkoani songwe mbozi naomba tupeane ujuz
  11. K

    JamiiForums Tanzania Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

    Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
  12. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Ukraine haviridhishi kitaaluma

    Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings! Hivyo chukueni tahadhari. **USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine. NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.
  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone Bei ya nyanya

    iPhone 6s 64Gb Battery 100% Fingerprint ✓ Camera ✓ Charger ✓ Cover✓ BEI : fixed 150k tuu LOCATION: KIMARA MWISHO 0757402662
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi. Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo. Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya. Msimu...
  15. JamiiForums Tanzania Nyanya ni tiba Bora ya kuzalisha mbegu za kiume zenye ubora

    Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku wamebainika kuwa na shahawa ambazo ni bora zaidi. Tatizo la uzazi kwa wanaume limeathiri karibu nusu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  17. JamiiForums Tanzania Wanasayansi wanatengeneza Chanjo ya Corona inayoweza kuliwa kwenye Nyanya

    Wanasayansi nchini Uzbekistan wanatengeneza chanjo dhidi ya virusi vya corona inayoweza kuliwa ndani ya nyanya, Wizara ya Ubunifu ya nchi hiyo imeeleza. Wanasayansi kutoka Chuo cha Sayansi wamefanikiwa kuweka sehemu ya kirusi hicho ndani ya seli ya nyanya ambapo seli hiyo imegeuka kuwa chanjo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kulima mbogamboga

    Hellow, guys Kwa walio mkoa wa Kilimanjaro na wenyeji ni aina gani ya mbogamboga zinahitajika kwa wingi endapo ukiwekeza kwenye mbogamboga.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa azuia magari ya Serikali kununulia nyanya

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanayatunza magari waliyokabidhiwa na serikali na kwamba atakayekutwa amepaki gari kisa kukosa 'service' atakuwa hana kazi na kwamba magari hayo yasitumike kununulia nyanya wala kwenda nayo bar...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nyanya ni chanzo kikuu cha Antioxidant Lycopene

    Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini C, potasiamu, folate, na vitamini K.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…